Je, mizimu ya mababu/mabibi zetu ipo kweli au ni shetani anatushawishi akijitengeneza kwa muunda huo?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Katika jamii tofauti unakuta mtoto akizaliwa anakuwa katika changamoto ya kulia sana mara kwa mara visivyo kawaida na unakuta hana tatizo lolote la kiafya.

Kinachofatia unakuta mzazi anawashirikisha wazee wa ukoo na wale wazee wanatoa ushauri kuhusu majina. Mara nyingi unakuta mzazi amewapa watoto wengine majina ya forefathers wa ukoo alafu unakuta kuna forefather ambae labda bado mzazi hajaenzi jina lake kwa kumpa mtoto hata mmoja.

Kwa hio wazee wanashauri apewe jina la forefather huyo kinachofatia kwa majaabu mtoto anatulia na kuacha kulia. Mambo mengine yanayofanyika sijui kwa kweli ila hii ni true story kabisa.

So what is real? Je roho za wafu huwa zinabaki na kuishi katika uliwengu wa kiroho na zikitazama safari yetu za maisha.

Au ni lucifer anajifanya kuwa katika nafsi hio ili atuingie kirahisi huku tukidhania ni roho za mababu zetu?
 
Mhh pia nakumbuka bimkubwa wang kuna kipindi alikuwa na matatizo sana but kila akienda kwa wataalam wakawa wanamwambia analindwa na mizimu ya kwao
 
Katika jamii tofauti unakuta mtoto akizaliwa anakuwa katika changamoto ya kulia sana mara kwa mara visivyo kawaida na unakuta hana tatizo lolote la kiafya.

Kinachofatia unakuta mzazi anawashirikisha wazee wa ukoo na wale wazee wanatoa ushauri kuhusu majina. Mara nyingi unakuta mzazi amewapa watoto wengine majina ya forefathers wa ukoo alafu unakuta kuna forefather ambae labda bado mzazi hajaenzi jina lake kwa kumpa mtoto hata mmoja.

Kwa hio wazee wanashauri apewe jina la forefather huyo kinachofatia kwa majaabu mtoto anatulia na kuacha kulia. Mambo mengine yanayofanyika sijui kwa kweli ila hii ni true story kabisa.

So what is real? Je roho za wafu huwa zinabaki na kuishi katika uliwengu wa kiroho na zikitazama safari yetu za maisha.

Au ni lucifer anajifanya kuwa katika nafsi hio ili atuingie kirahisi huku tukidhania ni roho za mababu zetu?
hilo hapo ndo jibu. hiyo ni ibada ya mizimu
 
Hao waabudu mizimu, wafanya matambiko, wapiga ramli nk. wanafanya ibada kwa mapepo yanayovaa uhusika wa wazee waliotangulia na kujitokeza kana kwamba wako wanaishi katika roho.

Watu waliokufa hawajui kinachoendelea katika nchi ya walio hai.

AYUBU: MLANGO 14.

10 Lakini mwanadamu hufa, huifariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi?

11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika;

12 Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.

21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
 
Mkuu, tumedanganywa sana pia tumepotoka kuita na kuamini wapendwa wetu waliokufa ni mizimu.

Ulishajiuliza bila ya wao wazazi wetu/mababu wa mababu sisi tungekuwepo? Ukweli ni kwamba sisi ni wao na wao ndio sisi na bila ya wao sisi tusingekuwepo.

Tusipoheshimu na kuwaenzi waliotuta gulia kwa kisingizio cha kuwaita mizimu tutakuwa tunaendelea kupotoka.

Hakuna cha mizimu wala baba yake mizimu, wao walikuwa kama sisi na sisi pia tutakuwa kama wao.
 
Katika jamii tofauti unakuta mtoto akizaliwa anakuwa katika changamoto ya kulia sana mara kwa mara visivyo kawaida na unakuta hana tatizo lolote la kiafya.

Kinachofatia unakuta mzazi anawashirikisha wazee wa ukoo na wale wazee wanatoa ushauri kuhusu majina. Mara nyingi unakuta mzazi amewapa watoto wengine majina ya forefathers wa ukoo alafu unakuta kuna forefather ambae labda bado mzazi hajaenzi jina lake kwa kumpa mtoto hata mmoja.

Kwa hio wazee wanashauri apewe jina la forefather huyo kinachofatia kwa majaabu mtoto anatulia na kuacha kulia. Mambo mengine yanayofanyika sijui kwa kweli ila hii ni true story kabisa.

So what is real? Je roho za wafu huwa zinabaki na kuishi katika uliwengu wa kiroho na zikitazama safari yetu za maisha.

Au ni lucifer anajifanya kuwa katika nafsi hio ili atuingie kirahisi huku tukidhania ni roho za mababu zetu?
Ni mizimu ambayo ni roho tu nyingine zinataka kuabudiwa. Ni salama zaidi kuachana na kutukuza mizimu, mtafute Mungu Mwenyezi. Mungu Mwenyezi yeye hana hayo mambo ya kuwatesa watu au kuwaletea majanga, hii ndio namna ya kumtambua. Yeye huwa kama baba anayewapenda sana watoto wake, huwaelewa na kuwasamehe kila wakati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom