Je Mh. S Sitta ni Mzalendo wa Kweli?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Ni mara nyingi Mh. Sitta amekua akikikosoa chama chake ambapo naye ni miongoni mwa Serikali.Tumemsikia akiupinga ufisadi.Ila kwa Mzalendo wa kweli ingemfaa akiache chama na atengeneze hoja zake aliwa nje ya Chama. Pia Sitta na Magreth Sitta wote wapo Serikalini.Ingefaa pia atuambie ni vigezo gani vilivyotumika kwa Mama Sitta kuteuliwa kuwa Mbuge angali pia kuna wengi wenye uwezo wa kupata nafasi hiyo? .Kama uzalendo wa dhati mbona asipinge hili ili kuruhusu wanawake wengine kupata nafasi hiyo baada ya yeye kuwa Mbuge?. Je ni kodi kiasi gani za watanzania zinainufaisha familia moja? Huu ni mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom