Je makongoro kupinga baraka za mama nyerere juu ya chadema ni uoga au katumwa?

SERVER

Member
Feb 28, 2011
13
0
jana nimeangalia Taarifa ya habari ya jioni Saa 2 TBC ikatoa habari ya kikao cha CCM huko musoma juu ya kipi kimesababisha Musoma karibia majimbo yote kushikiliwa na Chadema na hapo ndipo niliposhangaa kumwona Makongoro nyerere kujigamba kuwa Familia ya Baba wa Taifa haungi mkono CHADEMA kama ilivyotaarifiwa katika maandamano ya CHADEMA yaliyo fana huko Musoma na kupewa baraka na msemaji (mtoto wa 3) wa Baba wa Taifa kuwa upinzani umekuwa kwa kazi na familia ya baba wa Taifa inaunga mkono Chama chochote cha upinzani kinachotoa chachu katika taifa kama "Chadema"

Sasa swali langu linakuja kwa Wana JF
1.)je mnafahamu Makongoro nyerere alikuwa wapi siku ya maudhurio ya Butiama pindi CDM kilipodhuru Butiama kusalimia Familia na Kudhuru katika kaburi la Hayati Baba wa Taifa?
2.) nakwanini amesubiri mpaka kikao cha CCM ndoaanze kutoa kauli zake au amelazimishwa kufanya hivyo?
3.)nani kamwambia Baba wa Taifa alikuwa wa CCM peke yake?
4.)kwanini Familia isimchague yeye kama msemaji wa familia na kuanza kupaka Familia yake matope kwa kujikomba na CCM?
5.)je analinda maslai ganiiii au niwoga tu?
 
makongoro kanunua madiwani wa CCM na kuwapeleka CDM ili Nyerere Junior ashinde ubunge.huyu ni CDM anazuga CCM
 
Nikusahihishe tu! Mkoa wa Mara Chadema inaongoza jimbo moja tu la Msoma Mjini yote yaliyo baki yako chini ya CCM ikiwemo jimbo la Tarime lililo chukuliwa na CCM kutoka Chadema!
 
Haswa napenda watu huru wasiotaka kupotosha jamvi ilimradi kuwafurahisha wanaotaka kufurahi hata kama furaha yao msingi wake ni uongo.
 
makongoro kanunua madiwani wa CCM na kuwapeleka CDM ili Joseph Nyerere ashinde ubunge.huyu ni CDM anazuga CCM
Do you know what you are talking about? Joseph Nyerere alifariki miaka mingi sana iliyopita. Next time kabla hujakurupuka cheki facts zako.
 
Wakati Magige (Kaka yake Makongoro) anaitabiria ushindi CDM 2015, Makongoro alikuwepo. Anachofanya Makongoro ni kutimiza wajibu wake kama mwenyekiti wa CCM mkoa, lakini hata yeye ndani ya moyo wake anaufahamu ouvu wa chama chake. Yeye ni mmoja wa majeruhi wa uswahiba wa mwenyekiti wake taifa na mafisadi, na bila kificho ushindi wa CDM Musoma mjini una mkono wake, remotely though, kwani mgombea wa CCM mjini hakuwa chaguo la Makongoro na wanaCCM wengi walikuwa hawamtaki.
 
Back
Top Bottom