Je kwa mwanamke ndoa ndiyo kila kitu?

Tunaweza kutengeneza hadithi nyingi sana za kujiliwaza lakini zinaweza kuwa kinyume na hali halisi

Unaweza kuwa hujalelewa kuitambua ndoa na umuhimu wake lakini ukiendelea kuishi utakuja kugundua kuna kitu hakiko sawa na kama hujafikiri vizuri hutajua ni kitu gani

Ndoa ni sehemu ya ukamilifu wa binadamu hasa mwanamke [nasema hivi kwa mtazamo wa Kikristo]

Lakini hata kibinadamu ndoa ni muhimu sana kwa binadamu yoyote ile

Kinachowafanya watu watafute njia ya kuiona ndoa sio ya muhimu ni kuumizwa na hili limetokana na binadamu kuiacha njia yake ya asili ya maisha na hapo ndipo maumivu yanapoanzia!

Sio kama najaribu kujiliwaza or anything ila nachoelewa mm ndoa sio lazima. Hata kwenye bible ipo;

[h=4]1 Corinthians 7:1-16[/h] Now for the matters you wrote about: It is good for a man not to marry. But since there is so much immorality, each man should have his own wife, and each woman her own husband. The husband should fulfill his marital duty to his wife, and likewise the wife to her husband. The wife's body does not belong to her alone but also to her husband. In the same way, the husband's body does not belong to him alone but also to his wife. Do not deprive each other except by mutual consent and for a time, so that you may devote yourselves to prayer. Then come together again so that Satan will not tempt you because of your lack of self-control. I say this as a concession, not as a command. I wish that all men were as I am. But each man has his own gift from God; one has this gift, another has that. Now to the unmarried and the widows I say: It is good for them to stay unmarried, as I am. But if they cannot control themselves, they should marry, for it is better to marry than to burn with passion. To the married I give this command (not I, but the Lord): A wife must not separate from her husband. But if she does, she must remain unmarried or else be reconciled to her husband. And a husband must not divorce his wife. To the rest I say this (I, not the Lord): If any brother has a wife who is not a believer and she is willing to live with him, he must not divorce her. And if a woman has a husband who is not a believer and he is willing to live with her, she must not divorce him. For the unbelieving husband has been sanctified through his wife, and the unbelieving wife has been sanctified through her believing husband. Otherwise your children would be unclean, but as it is, they are holy. But if the unbeliever leaves, let him do so. A believing man or woman is not bound in such circumstances; God has called us to live in peace. How do you know, wife, whether you will save your husband? Or, how do you know, husband, whether you will save your wife?
 
Tunaweza kutengeneza hadithi nyingi sana za kujiliwaza lakini zinaweza kuwa kinyume na hali halisi

Unaweza kuwa hujalelewa kuitambua ndoa na umuhimu wake lakini ukiendelea kuishi utakuja kugundua kuna kitu hakiko sawa na kama hujafikiri vizuri hutajua ni kitu gani

Ndoa ni sehemu ya ukamilifu wa binadamu hasa mwanamke [nasema hivi kwa mtazamo wa Kikristo]

Lakini hata kibinadamu ndoa ni muhimu sana kwa binadamu yoyote ile

Kinachowafanya watu watafute njia ya kuiona ndoa sio ya muhimu ni kuumizwa na hili limetokana na binadamu kuiacha njia yake ya asili ya maisha na hapo ndipo maumivu yanapoanzia!

Ndoa ni muhimu kweli na hilo halipingiki,issue ni mafundisho yasiyo sahihi wanayopewa mabint yakiwaandaa kuwa wake na si kusimama wao kama wao. Ni kweli thamani ya mwanamke inakamilika kwa yeye kuwa na mume? Mama anapomwambia bint yake siku ya kitchen party kuwa umenitunzia heshima yangu kama mama anatuma ujumbe gani kwa bint zake ambao hawajapata wa kuwaoa?
Vipi huyo aliyeolewa ndoa yake iki fail au mume akafariki atasimama mwenyewe kama aliaminishwa mguu wake wa pili ni mume?
Wanawake wengi wanavumilia ndoa za manyanyaso kwa kuogopa jamii kuwaona hawajiheshimu kama watatoka na kuishi wenyewe!!
 
Ni jamii tu inatuaminisha hivyo mamy lakini ndoa si kila kitu hasa kwa sasa ambapo hata thamani na maana ya ndoa zenyewe imeshuka sana.
Kama ulivyosema Zinduna ulifunzwa pamoja na mambo mengine kuweka akiba ili mume akikwama umsaidie,wanaume pia walifunzwa kuwa vichwa vya familia na waliona fahari kutimiza majukumu yao. Siku hizi wanaume wengi wanaona fahari kukuta chakula mezani na ada imelipwa bila yeye kutoa mfukoni mwake.
Nyakati zimebadilika na wazazi hasa kina mama tubadilike katika ulezi wa bint zetu. Nimempenda mama yake isha aliyemfunza mwanae kuwa independent. Mfunze bint kusimama kwa miguu yake na ajue yeye ana thamani akiwa au asipokuwa na mume.
Muonye kuhusu ngono zembe ila ikitokea ame conceive usianze kuuliza posa italetwa lini bali amejipanga vipi kulea mtoto ajaye yeye kama mama wa huyo mtoto.

I totally agree with your point...Marriage has to mean something to you, and if you decided to get married, it has to be what you want...not what you think you are "supposed" to do....otherwise it won't work and you will never be at peace with your life. Marriage does not guarantee "forever" and it definitely doesn't guarantee happiness....you have to make you happy. No one can do that for you...Someone can compliment your life, but they cannot and shouldn't be your life. I truly think that if there weren't so much social pressure to get married, there would be a lot less divorces, a lot less parents making children absolutely miserable with custody battles and the nastiness that goes on during a divorce, and people would actually find love and be able to truly love without having all sorts of outside pressure to be someone that they may not be...
 
Fanyeni ya kuweza kuwapa heshima kwanza na kuwawezesha kuishi dada zangu!!!!!!!
Ndoa kama itatokea well and good lakini pia ikitokea na ukawa ni wa kuteseka usikae hapo hata dakika moja eti sababu utaonekana hivi na vile ndio maana nasisitiza hayo hapo juu!!!!!!

Ndoa yapaswa kuwa na furaha kama furaha haipo basi hakika ndoa sio kila kitu!!!!!!!!
 
Vibibi na wenye tabia chafu ambao hawajawai tamkiwa neno NDOA vinaliwazana hapa!!
Ukweli utabaki pale pale safar ya mwanadamu aliyekamili atapitia hatua hizi
i/KUZALIWA
ii/NDOA
iii/KIFO
sasa nyie munaojiita mabinti wa kileo kalaga bao.
 
I totally agree with your point...Marriage has to mean something to you, and if you decided to get married, it has to be what you want...not what you think you are "supposed" to do....otherwise it won't work and you will never be at peace with your life. Marriage does not guarantee "forever" and it definitely doesn't guarantee happiness....you have to make you happy. No one can do that for you...Someone can compliment your life, but they cannot and shouldn't be your life. I truly think that if there weren't so much social pressure to get married, there would be a lot less divorces, a lot less parents making children absolutely miserable with custody battles and the nastiness that goes on during a divorce, and people would actually find love and be able to truly love without having all sorts of outside pressure to be someone that they may not be...

Thank you.
Nitakutafuta uwe somo wa bint yangu nikifika kwenye darasa la mahusiano.
 
ni kweli kwa familia zetu za kiafrika wanaamini ndoa ndio kila kitu kwa binti na niheshima pia kwako na kwa familia nzima....... ila kwa upande wangu sioni kama ndoa ndo kila kitu zaidi naona kama ndoa ni zigo lisilobebeka likiwa na kila aina ya karaha ambazo hizo karaha unzikubali na kuzikaribisha mwenyewe kwa kukubali kuolewa kama ninakosea aisee akili yangu ipo kama imeathirika kidogo kuamini ndoa kama ni sehemu yenye furaha na amani

As a guy na ni mtu mwenye wadada, kwangu sioni kama ndoa kwa mwanamke ni lazima. Sawa kila mwanamke (I think) anataka aitwe Mama na pengine awe na mtoto ndani ya ndoa, ila ukija kwetu sie wanaume yaani karibu ya wengi wetu hata tusome vipi bado tuna ile kasumba ya kuona kuwa mwanammke si mtu wa kumchukulia serious. Wengi wetu hatuwathamini wake zetu na ndiyo maana michepuko haishi. Mwanamke gani atakayekuwa radhi aolewe na mwanamme ili anyanyaswe? Time has come ya kutowajaji wanawake wasio olewa kwani nina uhakika kuna baadhi yao kwa makusudi hawataki kuolewa na kujiumiza mioyo kila kukicha kugombana na mtu asiye eleweka. I wouldn't want my daughter ateseke kihivi and I would never judge a woman who decides to be single ila kazaa tu kajikalia na wanawe akiwatunza yeye mwenyewe kwa pesa zake. Kuna tatizo hapa? Furaha mtu unajia mwenyewe.
 
Fanyeni ya kuweza kuwapa heshima kwanza na kuwawezesha kuishi dada zangu!!!!!!!
Ndoa kama itatokea well and good lakini pia ikitokea na ukawa ni wa kuteseka usikae hapo hata dakika moja eti sababu utaonekana hivi na vile ndio maana nasisitiza hayo hapo juu!!!!!!

Ndoa yapaswa kuwa na furaha kama furaha haipo basi hakika ndoa sio kila kitu!!!!!!!!

Ennie akikunyima tu furaha njoo kwangu eee lol
 
Last edited by a moderator:
Ndoa siyo lazima.kuzaa bila ndoa ni dhambi(uzinzi).yaishi haya mawili you are free.jesus remains the same and he will.
 
Ennie akikunyima tu furaha njoo kwangu eee lol

Ha ha haaaa tangu kaona uwepo wako naona she is really collecting all that she has to be a good companion!!!!!!!!!!

Ila sababu ndoa sio kila kitu basi kuna vingine unavyo wewe labda kwa ajili yangu!!!!!!!!!
 
Sina majibu lakini sijui ni kwanini tokea zamani inasemekene sherehe kubwa za mwanadamu ni tatu ambazo ni ya kuzaliwa, ya kuolewa na ya kufa.

walioolewa wanasubiri kufa...lol,what a comfort kwa sie ambao hatujaolewa lols
 
As a guy na ni mtu mwenye wadada, kwangu sioni kama ndoa kwa mwanamke ni lazima. Sawa kila mwanamke (I think) anataka aitwe Mama na pengine awe na mtoto ndani ya ndoa, ila ukija kwetu sie wanaume yaani karibu ya wengi wetu hata tusome vipi bado tuna ile kasumba ya kuona kuwa mwanammke si mtu wa kumchukulia serious. Wengi wetu hatuwathamini wake zetu na ndiyo maana michepuko haishi. Mwanamke gani atakayekuwa radhi aolewe na mwanamme ili anyanyaswe? Time has come ya kutowajaji wanawake wasio olewa kwani nina uhakika kuna baadhi yao kwa makusudi hawataki kuolewa na kujiumiza mioyo kila kukicha kugombana na mtu asiye eleweka. I wouldn't want my daughter ateseke kihivi and I would never judge a woman who decides to be single ila kazaa tu kajikalia na wanawe akiwatunza yeye mwenyewe kwa pesa zake. Kuna tatizo hapa? Furaha mtu unajia mwenyewe.

Akazae na nani?

Siku hizi kuna mahali wana-donate sperms ambazo donors hawajulikani?

Ndoa ni muhimu sana labda kama inazidisha kero kuliko amani....

Ni muhimu kutochanganya vitu hapa; mwanamke kujitegemea vs kumtegemea mume, kuishi kwenye ndoa kwa kulazimiaka hata kama ina karaha, na umuhimu wa ndoa katika maisha yetu (wanaume na wanawake)! Hivi ni vitu tofauti kabisa.

Pamoja na matatizo tunayokumbana nayo kila siku, yet nawashauri watu wote ambao hawana kizuizi wajitahidi kupata na kuishi kwenye ndoa. Ila wasivumilie ndoa ambazo zinahatarisha maisha yao kwa namna yoyote!
 
Back
Top Bottom