Je, kuna uhusiano wa kufanya sana ngono na kuwa mwembamba?

Step by step

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
1,249
1,277
Kichwa cha habari chajieleza.

Nimeikuta mahali hii,

Kuna jamaa mwembamba na hajawahi kuwa na mwili japo ana hela na kila kitu. Sasa wanamshambulia eti hanenepi kisa anahusudu sana papuchi.

Je, pana ukweli hapa?
 
It depend with your food routine kama unapenda sana papuchi at the same time papuchika inakushauri mkale chips na mishikika obvious lazima utakuwa slim and weak, because during sex men we spend too much energy just imagine kila bao moja sawa na kutembea km 7, papuchi siyo poa ni kama gongo hiyo aiseee.
 
kumbuka kwenye lile tendo unatoa protini mingi sana kupitia sperms sasa kukonda kwake ni sahihi kabisa 100%
 
Back
Top Bottom