Je kuna tofauti ya joto la mwili kati ya mtoto mchanga na mtu mzima?

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Naamini hakuna ila cha kushangaza ni pale wakati wa joto kali, mzazi analala bila nguo ila mwanae gubi gubi (kavishwa nguo nzito na blanket juu)

Inakuwaje hapo?
 
Back
Top Bottom