Je kuna maisha au fursa baada ya kustaafu utumishi ?

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Kuna mifano mingi ya watu waliopata mafao mazuri kama sehemu ya malipo ya kustaafu baada ya utumishi wa umma au sekta nyingine hapa Tanzania.
Lakini mwisho wa siku, hawa watu hupoteza pesa hizo na kujikuta hawana kitu.
Hivi mtu anatakiwa ajiandae vipi? Awekeze katika maeneo gani? Je kweli Tanzania, haina fursa ambazo mtu anaweza kufanya biashara halali, zaidi ya kelele tunazosikia kila siku za ufisadi? Je ni lazima kila mtu awe fisadi ili aishi katika ustaafu wenye neema?
 
Back
Top Bottom