Je, kuna haja ya kuwarudisha tena bungeni hawa wabunge wa Bunge la 12, 2025?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.

Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.

Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?​
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Hujasikia viongozi wa dini wanasemaje?
Wengi hawana hofu ya wananchi,wanajua hata tusipowachagua watakuwa wabunge.
Ndio waliopiga makofi.
Na zaidi wakamjadiri mtu badala ya kilichokuwa mbele yao.

Shida nyingine ni spika,alitaka kila wazo liendane na yeye anavyotaka,na anafikiri ni sawa.
Tunashida.
 
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni...​
Kwani TEC wanasemaje ?
 
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.

Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakirishi kikubwa zaidi ni wawakirishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakirisha.

Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE10?​
kwanza jifunze kuandika vizuri, "wawakirishi" ndiyo nini. Aliyewapeleka bungeni hatunaye tena unafikiri nani atawarudisha?
 
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakirishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10 ,2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.

Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakirishi kikubwa zaidi ni wawakirishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakirisha.

Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE10?​
warudi wale tu ambao kweli walionyesha dhamira ya kuwawakilisha watanganyika vizuri na hao hawazidi 15,wengine wote wasirudi kabisa.tuachane kabisa na kundi la akina msukuma na wenzake.
 
Hujasikia viongozi wa dini wanasemaje?
Wengi hawana hofu ya wananchi,wanajua hata tusipowachagua watakuwa wabunge.
Ndio waliopiga makofi.
Na zaidi wakamjadiri mtu badala ya kilichokuwa mbele yao.

Shida nyingine ni spika,alitaka kila wazo liendane na yeye anavyotaka,na anafikiri ni sawa.
Tunashida.
wanambeya wajitathimini watawarudisha wabunge wa aina ya tulia ackson?watakubali rushwa za bodaboda?
 
Kwani nani alieyewachagua hao? Kwa Uchaguzi upi? Mwaka gani?

Hao wanafiki "waliwekwa hapo na wengine "kusukumizwa" na Magu. Hakuna Bunge pale! Pale hakuna wawakilishi wa wananchi.

Na Magu aliwaandaa kwa mambo kama haya, kwamba wapitishe kwa "ndiyoooo" nyingi mambo kama hilo la bandari.....

Tunataka Katiba Mpya
 
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.

Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.

Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?​
Ni hatari mno ni bora kuifumua na kuisuka upya serikali, nimejifunza jambo kutoka kwa Sheikh Ponda, hapa kuna agenda mbaya sana dhidi ya Tanganyika, Mbarawa na Samia siyo watu wema kwetu
 
Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni.

Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi kikubwa zaidi ni wawakilishi wanaangalia zaidi uhakika wa nafasi zao hapo baadae kuliko maslahi ya wanao wawakilisha.

Je, kuna haja ya kuendelea nao 2025 hasa hawa JUNE 10?​
I can tell you for sure and without fear of contradictions 85% of them will retain their seats. Ground ni cool poa sana for them huku kwa keyboard 🔥
 
Back
Top Bottom