Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Apr 21, 2023

Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuanguka kwa moja ya ndege zake zisizo na rubani wakati wa uvamizi wa anga ya Syria.

Kwa mujibu wa gazeti la Israel "Yadiyot Aharanot", msemaji wa jeshi la Israel alidai Jumatano iliyopita kwamba ndege ya jeshi la utawala huo ilianguka katika eneo la Syria wakati ilipokuwa ikiruka katika anga ya nchi hiyo Jumanne usiku. Ben Kinon alisema kuwa chanzo cha suala hilo kinachunguzwa na amejiepusha kutaja aina ya ndege isiyo na rubani iliyoanguka nchini Syria na kudai kuwa hakuna hatari ya kuvuja kwa taarifa za ndege hiyo isiyo na rubani.

Kabla ya hapo msemaji wa jeshi la Kizayuni alikuwa ametangaza habari ya kutunguliwa ndege nyingine isiyo na rubani ya utawala huo. Kwa msingi huo, uwezekano kwamba ndege hii isiyo na rubani pia imetunguliwa ni mkubwa, jambo ambalo linatilia shaka madai ya utawala haramu wa Israel kuhusu kuwepo hitilafu za kiufundi katika drone iliyodunguliwa huko Syria.

Mashambulizi ya anga ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria, ambayo siku zote yamekuwa yakisababisha hasara na uharibifu kwa nchi hiyo, yamekuwa yakiibua swali kwamba, hadi lini Syria itaendelea kustahamili uchokozi huo?

Miezi michache iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal al-Miqdad, katika mahojiano na gazeti la Oman la Athir, ambayo pia yalichapishwa tena na shirika la habari la Russia Sputnik, alieleza sababu ya kutojibu uchokozi wa mara kwa mara wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji wa Damascus na vitongoji vyake na kusema: "Wazayuni wanatumia vibaya fursa ya kuruka baadhi ya ndege za abiria katika anga ya Syria na kutumia anga ya chini au juu ya ndege hizo, kurusha makombora, na iwapo makonbora ya jeshi la Syria yatajibu kuna uwezekano wa kupiga ndege hizo za abiria, na wakati huo Damascus ndiyo itakayolaumiwa. Kwa sababu hiyo jeshi la Syria halirushi makombora ya kukabiliana na ndehge za kivita za Israel ili kuepuka kutungua ndege za raia."

Wakati huo huo, al Miqdad alibainisha kuwa: "Msimamo wetu kuhusu uchokozi huu uko wazi; Tunasema na kuonya kwamba hivi karibuni au baadaye Israeli itapokea jibu la uchokozi huu."

Kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria hatimaye kuliwalazimisha wanachama wengine wa mhimili wa muqawama kukemea vikali suala hilo. Sayyid Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amewaambia viongozi wa Damascus kwamba, anatumai ndugu zao wa Syria watageukia stratijia ya kujihami dhidi ya adui Mzayuni. Al Houthi amesisitiza kuwa, adui Mzayuni anapaswa kujua kwamba kwa kila shambulio atakalofanya huko Syria, atapigwa na kushambuliwa ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.

Sasa inaonekana kwamba Syria iko tayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote kujibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni:

Kwanza kabisa ni kwamba, Syria imefanikiwa kuzima mradi wa uasi na kurejesha mamlaka yake katika maneo mbalimbali ya nchi baada ya kupata hasara ya mabilioni ya dola na makumi ya maelfu ya vifo. Wakati huo huo, Syria imetumia mizozo ya ndani kama fursa ya kujenga upya jeshi lake, na kwa msaada wa Iran na Russia, imeimarisha ulinzi wake wa anga na hata kuuboresha zaidi kuliko hapo awali na kabla ya vita.

Pili ni kwamba, wale wote walioyaunga mkono makundi ya waasi au ya kitakfiri sasa wamebadili misimamo yao mmoja baada ya mwingine, na wamechukua mkondo wa maridhiano na serikali kuu ya Damascus huku wakijaribu kurejesha uhusiano na Syria.

Ziara ya hivi karibuni ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia, Faisal bin Farhan mjini Damascus, iliyofanyika baada ya miaka 12, ilionyesha kuwa Riyadh inakusudia kufungua ukurasa mpya katika uhusiano wake na Syria ambao utahitimisha zama za harakati za Saudia kuyafadhili na kuyapa silaha makundi ya kigaidi kama lile linalojiita "Jaish al-Islam" na Muungano wa Kusini".

[https://media]

Saudi Arabia ilikuwa mfadhili na muungaji mkono mkuu wa kundi la kigaidi la "Jaish al-Islam" na ilitumai kuwa magaidi hao wangeiteka Damascus. Riyadh ilikuwa na jukumu kuu katika chumba cha operesheni ya kivita za kundi hilo na ilikuwa ikijaribu kutwaa sehemu ya kusini mwa Syria, hasa mkoa wa Daraa, na kuliondoa katika udhibiti wa Jeshi la Syria. Saudia pia ilikuwa ikiyasaidia kwa hali na malii makundi ya kitakfiri yanayopigana na serikali ya Syria katika mkoa wa Aleppo huko kaskazini mwa Syria.

Hata hivyo, safari ya Faisal bin Farhan mjini Damascus inaonyesha kuwa Riyadh imekubali kikamilifu kwamba haiwezekani kuiondoa madarakani serikali ya Damascus na kwamba sasa ni wakati wa kukubali utawala wa Rais Bashar al-Assad.

Katika upande mwingine, kadiri nchi za Kiarabu zinavyopiga hatua ya kuimarisha uhusiano wao na Syria na kuirejesha nchi hiyo katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), ndivyo utawala wa Kizayuni wa Israel unavyojikuta katika mbinyo na hali ngumu zaidi hususan katika suala la kuendeleza mashambulizi ya anga dhidi ya nchi hiyo. Kwa mtazamo huu, kutunguliwa mfululizo kwa ndege zisizo na rubani za Israel katika anga ya Syria kuna ujumbe za onyo kwa utawala huo na kunaonyesha kwamba Syria inatoka taratibu katika nafasi ya mlinzi na kujihami mbele ya hujuma hizo, na kuwa straika na mshambuliaji
 
[https://media]Faisal al-Miqdad

Unatuuliza? kwani boss wenu Hassan Nasrullah na Hayatollah Khomeni wanasemaje?

Ni sisi ndiyo tunatakiwa tukuulize swali hilo since ww ndiye mwakilishi, mhariri na repota wa Pars today huku Afrika Mashariki

Mzee wa death to Amerika, dah mnavituko aise huyo kimsgirl mpiganaji wa hisbollah.....
 
Kimsboy:

Maelezo mengim mno jamaa yangu, mwenye macho haambiwi ona....Hii imekuwa ni Nakba nyingine.....!
 
Back
Top Bottom