Je, kifungu kinacho-criminalize Ponzi Schemes kinatumika au ni gaka tu?

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Kifungu cha 171A cha Kanuni za Adhabu kimejinaisha Ponzi Schemes na Pyramid schemes ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikiwaingiza mamilioni ya watanzania katika kilio.

Kulikuwa na DECI, Kalynda, ambazo zilikuwa Ponzi Scheme, hata hivyo kwa Pyramid Schemes zimekuwa nyingi huku wengine wakitumia hadi viongozi wa serikali. Mfano Forever, ndugu angu wa GoodMorning nk.

Sheria hii ambayo imekuja kwa marekebisho ya mwaka 2022 niliona ni nuru nzuri ya kuwalinda watanzania dhidi ya utapeli. Swali ni Je, sheria hizi zimetumika au zimebaki kuwa kwenye vifungu tu huku watanzania wakiendelea kulia?
 
Back
Top Bottom