Je, kesi ya uhaini ina dhamana?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau wote tunajua Watanzania wenzetu tena Wazalendo wa kweli wenye Uchungu na Raslimali za Nchi yetu yenye Wananchi wake Masikini na Wanyonge walikamatwa na kushtakiwa kwa Kosa la UHAINI Kosa ambalo ADHABU yake ni KIFO.Watanzania hao ni Dr Slaa Mdude na Mwanasheria binafsi.

Katika Mshangao Mkubwa leo Wameachiwa kwa DHAMANA.Tulio ambalo wengi tumeshangazwa na kujiuliza
kwanini Wameachiwa kwa Dhamana tena ya Polisi?Na kwanini hawakufikishwa Mahakamani kusomewa hill Kosa la Uhaini?

Je KOSA la UHAINI lina Dhamana?Tunawaomba Wanasheria Wetu watufafanulie Suala zima hili na pia iwapo Kosa la UHAINI kama lina DHAMANA.

142831474.jpg
569573177.jpg
 
Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?

Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
 
Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?

Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Mbowe alipewa dhamana, Mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.
 
Mbowe mahakama yenyewe ilishindwa kumtia HATIANI
Mbowe hakupewa DHAMANA
Mahakama ilisema ana kesi ya kujibu ndipo dppp akaondoa case!!

Na hii pia, IGpp asema ni uhaini, tatika hatua za kukamilisha ushahidi wa mchongo dppp anawakataa watuhumiwa, wanadhaminiwa!!!

Ndo ujue Director wa movie hizi Huwa ni yule yule!!
 
mbowe alipewa dhamana, mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.
Rudia kusoma Kwa makini, Rabbon na mkataba fake wap na wap!!!
 
Nami nikuulize, kesi ya ugaidi Ina dhamana au msamaha?

Mbowe tunae mtaani, na anaingia jumba jeupe mara Kwa mara.
Kweli una kichwa cha Panzi hujui hata Kesi ya Ugaidi kama haina Dhamana wala Msamaha ndio maana WATUHUMIWA hawakuwahi Kupewa DHAMANA wala Msamaha uliotolewa . Kumbuka aliyewashtaki ni DPP na DPP hakutoa DHAMANA wala Msamaha bali Aliiomba Mahakama kuiondoa Kesi Mahakamani kwa Mujibu wa Sheria.
 
Mbowe alipewa dhamana, Mbowe alisamehewa au akili zenu matope nyie makuwadi ya dpwold huwa zinawafanya mfikirie hivyo ndio maananaingia mikataba ya kijinga na kipumbavu kama ya dpworld.
Hayo ndio Matunda ya shule za Kata Mbowe toka akamatwe hakuwahi Kupewa DHAMANA wala Msamaha mpaka aliyewashtaki ambaye ni DPP alipoiondoa kwai Mahakamani
 
Back
Top Bottom