Je kama dingi yako?

shoke

New Member
Jul 18, 2011
2
0
Unahisi girl/boyfriend wako ana mshikaji wa pemben. unambana akuambie ni nani. anakujibu, 'JE KAMA DINGI YAKO?'
 
Namcameron halafu naenda kumsimulia dingi kuwa kuna demu mmoja kanishobokea nikamcameron
 
Back
Top Bottom