Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
Wanajamvi sitasema sana ila nitaachia hizi takwimu zijisemee! Naomba mchango wenu.
Naomba tuzitafakari kwa makini sana hizo takwimu na hizi zinazofuatia hapa chini. Kwa nini aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Lewis Makame, asiburuzwe mahakamani akaeleze ilikuwaje?
Tufanye nini kuyaepuka haya mwaka 2015? Nawasilisha.
Mwaka | Idadi ya watu Population | Waliojiandikisha | Waliopiga kura | Kura alizopata Raisi vs Asilimia ya Watanzania waliojiandikisha | |
1995 | 29,700,000 | 8,929,969 | 6,846,681 | 4,026,422 | 45% |
2000 | 33,517,000 | 10,088,484 | 8,517,648 | 5,863,201 | 58% |
2005 | 36,766,356 | 16,401,694 | 11,875,927 | 9,123,952 | 56% |
2010 | 41,892,895 | 20,137,303 | 8,626,283 | 5,276,827 | 26% |
Naomba tuzitafakari kwa makini sana hizo takwimu na hizi zinazofuatia hapa chini. Kwa nini aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Lewis Makame, asiburuzwe mahakamani akaeleze ilikuwaje?
Mwaka | 2005 | 2010 | ||
Population | 36,766,356 | 41,892,895 | ||
Waliojiandikisha | 16,401,694 | 20,137,303 | ||
Waliopiga kura | 11,875,927 | 8,626,283 | | |
Matokeo | ||||
CCM | 9,123,952 | 80% | 5,276,827 | 61% |
CUF | 1,327,125 | 12% | 695,667 | 8% |
Chadema | 668,756 | 6% | 2,271,941 | 26% |
Tufanye nini kuyaepuka haya mwaka 2015? Nawasilisha.