Je, issue ya Masanja imeletwa kimkakati kututoa kwenye mjadala wa Trilioni 360?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,914
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
 
Inaweza ikawa si unajua ukiwa unaangalia TV alafu remote umeishika wewe unabadiri Channel yoyote unayoitaka wewe, mara unaweka Teremundo ukiona haikupi unahamia Trace Africa ukiona haikupi unachomoa kingambuzi unaweka kingambuzi kingine, hivyo yaan mshika remote ndie mwenye mamlaka na ndie anaetawala sebreni ukimzingua anawahamishia Channel nyingine

Napita..
 
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
Mkuu sioni jinsi kijana Katibu wa Kanisa la Masanja akalitengeneza vagi la kujinyonga wa sababu ya Monica, ili kufunika Trab na Trat.
 
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
Yaani mtu amepigiwa demu wake unasema unasema imeletwa kimkakati? We nae hovyo tu
 
Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.

Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.

Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.

Nchi hii haishiwi maajabu
ndugu yangu, bado unawazaga tu trilioni360!!!???!!!, kwanza ilikuwa na uhalisia!??!! au ilikuwa janja nyani mzungu ababaike?!?, barrick kwanza hana hiyo hela. achana na hayo maruweruwe wewe subiri tujadili pesa ya tozo zetu tuone zinatusaidiaje
 
nyie kila kitu mnatafuta sabb ya kusingizia, et wawatoe, nan awatoe bana wee, mtu apate matatzo ya kifamilia mje msingizie mnatolewa msijadiri mambo ya taifa?

jamn tuwe tunatumia akili sometime
Si ndiyo hapo mkuu! Kuna watu ni jinga kweli
 
ndugu yangu, bado unawazaga tu trilioni360!!!???!!!, kwanza ilikuwa na uhalisia!??!! au ilikuwa janja nyani mzungu ababaike?!?, barrick kwanza hana hiyo hela. achana na hayo maruweruwe wewe subiri tujadili pesa ya tozo zetu tuone zinatusaidiaje
IMG-20220907-WA0074.jpg
 
Kwani hata mkijadili hizo tilioni 360 kwa mwaka mzima mtabadirisha kitu gani?

Watz tusiwe wapumbavu.
Wakati wa mwendazake, trilioni 1.5 ulikuwa wimbo wa kila siku, hivi kweli trilioni 360 ni za kweli wakati sisikii kelele zozote kabisa?
 
Back
Top Bottom