Je huyu ni member gani wa JF?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Cv2-jEBWEAAPl8Y.jpg
 
Dah ndo life letu ukiamka hapo asubuhi mzgoni kama kawaida full kukimbizana kwenye site na zege vumbi la cement ndo kawaida ukirudi geto godoro linatosha mengine ziada tu msosi geto vinatosha
 
Duh! Ndio maana wazee wangu waliniambia usidharau mtu mwanangu. Watu wanapitia maisha mengi ya mtihani, hii ndio moja ya hayo mitihani.
Kijana nadhani hujui maana ya mapito

Yaani mtu amelala kwenye Godoro, anachat alafu unaona yupo kwenye mazingira magumu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom