Je huu ndio uzalendo?

Mzanzibar

Member
Sep 20, 2011
36
2
wana jamvi,nimeamua kuandika maada hii baada ya kutafakari kwa mda,mnamo tarehe 25 august 2014 mfanyakazi mwenzangu alipewa likizo bila malipo ili aweze kwenda jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria,ambapo alianza likizo take tarehe 5september na kutakiwa kuripoti kazini tar 27 December 2014,
lakini ajabu ni pale punde tu baada ya kuondoka kwenda jeshini kuna barua aliandikiwa na kupewa punde baada ya kurudi jeshini na barua hiyo olisomeka kuwa ruhusa bila malipo alipewa kimakosa na hivyo kuanzia tarehe 30 august yeye so mfanyakazi wa TANROAD mkoa wa pwani,barua hiyo ilisainiwa na meneja wa TANROAD mkoa wa pwani
swali langu ni je huu ndio utaratibu wa kufukuza watumishi?
pia je huu ndio uzalendo alioendakufundishwa Jkt kuwa akirudi atangetange bila ajira?
je Rais wangu ,Waziri wangu magufuli inatambua hili?
 
Atafute tu msaada wa kisheria kama hizo barua zote anazo aende ofisi ya CMSA iliyo karibu.
 
Hv ni kweli aliajiriwa T/ROAD na alimaliza probation period?maana under probation hawez kupewa likizo mpaka amalze mkataba kama sio magumashi,Na jkt intake ya august c ilchukua fresh toka ttc's na shuleni, ilkuwaje wakamuita yy alie kazn?Au alihonga?
 
Back
Top Bottom