Je hizi ni dalili za "Wakubembea" kumwagwa 2010?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,208
79,448
Inasemekana minong'ono na kunyoosheana vidole kwingi kunakotokana na kutoolewena na wana ze mtandao na wachukia ufisadi hakutaishia hapo! habari za kuaminika zinadai ile kambi ya wachukia ufisadi ina mpango wa kumtofuga machoni wakubembea huyu asiyeskia la kufa! Wakubembea huyu asiyetaka kukata ze mtandao ndani ya inner circle ya wanadai kuwa ndo wenye chama anapotozwa zaidi na kubwabwaja kwa msaidizi wake "Wakufyatuka" .

Kama "Wakubembea" hatajirekebisha na kujua kutofautisha urafiki na uendeshaji wa nchi kuna dalili nyingi kutochaguliwa kuwa mgombea hapo mwaka kesho!
 
Back
Top Bottom