je hii ni sawa?

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
wanawake wengi wamekuwa wakiwaachia waume zao au ma bf wao kazi ya kuosha vyombo baada ya mechi na wengine kwa kisingizio cha kuchoka husahau hata kuosha vyombo huamua kuvilia vikiwa vichafu je hii ni sawa? Michango yenu wanajamvini tafadhali!!
 
wanawake wengi wamekuwa wakiwaachia waume zao au ma bf wao kazi ya kuosha vyombo baada ya mechi na wengine kwa kisingizio cha kuchoka husahau hata kuosha vyombo huamua kuvilia vikiwa vichafu je hii ni sawa? Michango yenu wanajamvini tafadhali!!

Sio sawa gf wako ndo anatakiwa aoshe vyombo "kazi ya jeshi lazima agangamale"
 
mi naonaa una show some care banaa...kuosha vyombo baada ya kulaa sio aramu kumsaidia wife.
 
Kama siku ya kwanza ulianza kwa kuosha, inabidi uendelee......... Lkn tuulize baada ya gwaride ni nani huwa chokest zaidi ya mwenzie?
 
ka nini isiwe sawa we si umekula?huyo si mkeo mnayepika na kupakua pamoja?sa tatizo nini?kwa taarifa yako kuna wanaume wanapenda wake zao hadi wanawasaidia kupika kwa zamu kama hawana msaidizi.we umeambiwa mke ni housemaid?UBAVU
 
Ni vizuri kama dadake akiviosha
lakini ni bora zaidi kama mkisaidiana
maana ukweli mlisaidiana kuvichafua
Au vipi :p??
 
Kitu chochote kizuri ukikifanya kwa upendo na hiari ,
wala hakina malalamiko wala masikitiko ndani yake.
Kwa hiyo kama
vyombo mlivyochafua ukiamua kuviosha
kwa hiari yako na kwa upendo,
wewe endelea tu kuosha,
na hiyo pia ni sehemu ya kuonesha upendo na kujali.
 
kuna suala la mapenzi na jinsi ulivyomzoesha mwenzi wako, bali kwa mwanamke aliyefundwa vzr au wale wa SLP ni tofauti sana na hawa wa DOT COM
 
Back
Top Bottom