Mi niliwaambiaga wachukue hela wajilipe kila gharama zote, kinachosalia wanitumie! Hawakurudi tena.Hautakaa ufike
Subiri kuliwa hakunaga maisha ya hivyoWakuu poleni na mihangaiko ya kutwa nzima,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba kuna mama mmoja wa kizungu kanitokea facebook kaniomba urafiki nikakubali, baada ya kukubali kanitumia sms inbox Hi, nami nikamjibu.
Baada ya kumjibu kanitumia e-mail yake na kuniambia nimcheki kwa email ili tuweze kuongea vizuri, basi nami nikamcheki. Bila kuchelewa kajibu e-mail kwa kujieleza mwanzo mwisho, mwisho wa e-mail akanitumia picha zake na kunitaka nami nijieleze, basi nikajieleza baada ya hapo kajibu email sasa na kuniambia kuwa yeye ana miaka 41 na mtoto mmoja ila hana mume.
Basi akaniambia kuwa anataka tuwe marafiki ila urafiki wetu uwe wa kimapenzi, mimi nikamwambia wewe ni kama mama yangu coz mimi nina miaka 25 tu. Akasema hilo haliwezi kuwa sababu mimi niko tayari kukupenda na sitakufanya ulie hata siku moja.
Nikasema ngoja nimkubalie nione itakuaje, basi nílipomwambia hivyo akaniambia kuwa yeye amefurahi kusikia hivyo, akawa aniuliza maswali mengi kuhusu mimi nchi yangu mitaani kwetu kuhusu watoto wanaoishi katika mazingira magumu n.k , basi nikamjibu vyote.
Baada ya hapo akanitumia e-mail na kuniambia nimefurahi kukufahamu, basi niko safari kutoka nchi ila nikifika nyumbani nitakutumia zawadi. Nikatulia baada ya siku 4 kupita katuma e-mail kaniambia kuwa amenitumia zawadi nyingi ikiwepo Laptop 1 IPhone 1 Video camera 1 na Bahasha yenye Cheque ya Pound 55000 na vitu kama picha zake nk. Akaniambia kuwa amempa mtu ambaye yupo kwenye mashirika ya watoto, huyo mtu katoka huko kwao kaja Senagol kikazi kwahiyo kamtuma yeye ili aniletee.
Kanipa email ya huyo mtu phone number yake ili nimtafute ili nimpe maelekezo ya namna ya kuweza kunitumia kutoka Senegal hadi Tanzania. Mwisho akaniambia hiyo cheki naweza tumia bank yoyote yenye Visa, akaniambia kuwa hiyo hela nitumie kuwasaidia watoto masikini mtaani kwetu na zingine niweke bank ili inisaidie kwa matumizi yangu na nitumie kuangalia ni wapi pazuri pa yeye kuja kupumzikia atakapo kuja kunitembelea baada ya miezi miwili.
Sasa wakuu je hawa ni wakweli au ndio ule utapeli wa mitandaoni? Maana mtu kukupa pound 55000 na wakati kaona picha zangu tu, hilo ndio inanipa wasiwasi. Pound 55000 ni kama 157million za kwetu.
Huyo aliyetumwa aniletee bado sijamwambia kuhusu mzigo aliyopewa. Sasa naombeni ushauri kwa wale wataalamu wa haya mambo, na je kama ni kweli kuna uwezekano huo mzigo wangu ukatumwa kutoka Senegal kuja Tz ? Na je njia ipi nitatumia niweze kuipata bila usumbufu.
Mimi huwa najibu meseji zao fb kwa kiswahili. Ndio inakua mwisho wake....wa ivo kwangu weng san.Huwa naishia kusoma tu sms zao na kuwapotezea
Fanya hivi wasiliana na huyo mtu umsikilize kwanza , ila akikwambia suala la kutoa pesa au account number achana nae, tena mwambie huwa sitapeliwi kifal.aWakuu poleni na mihangaiko ya kutwa nzima,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba kuna mama mmoja wa kizungu kanitokea facebook kaniomba urafiki nikakubali, baada ya kukubali kanitumia sms inbox Hi, nami nikamjibu.
Baada ya kumjibu kanitumia e-mail yake na kuniambia nimcheki kwa email ili tuweze kuongea vizuri, basi nami nikamcheki. Bila kuchelewa kajibu e-mail kwa kujieleza mwanzo mwisho, mwisho wa e-mail akanitumia picha zake na kunitaka nami nijieleze, basi nikajieleza baada ya hapo kajibu email sasa na kuniambia kuwa yeye ana miaka 41 na mtoto mmoja ila hana mume.
Basi akaniambia kuwa anataka tuwe marafiki ila urafiki wetu uwe wa kimapenzi, mimi nikamwambia wewe ni kama mama yangu coz mimi nina miaka 25 tu. Akasema hilo haliwezi kuwa sababu mimi niko tayari kukupenda na sitakufanya ulie hata siku moja.
Nikasema ngoja nimkubalie nione itakuaje, basi nílipomwambia hivyo akaniambia kuwa yeye amefurahi kusikia hivyo, akawa aniuliza maswali mengi kuhusu mimi nchi yangu mitaani kwetu kuhusu watoto wanaoishi katika mazingira magumu n.k , basi nikamjibu vyote.
Baada ya hapo akanitumia e-mail na kuniambia nimefurahi kukufahamu, basi niko safari kutoka nchi ila nikifika nyumbani nitakutumia zawadi. Nikatulia baada ya siku 4 kupita katuma e-mail kaniambia kuwa amenitumia zawadi nyingi ikiwepo Laptop 1 IPhone 1 Video camera 1 na Bahasha yenye Cheque ya Pound 55000 na vitu kama picha zake nk. Akaniambia kuwa amempa mtu ambaye yupo kwenye mashirika ya watoto, huyo mtu katoka huko kwao kaja Senagol kikazi kwahiyo kamtuma yeye ili aniletee.
Kanipa email ya huyo mtu phone number yake ili nimtafute ili nimpe maelekezo ya namna ya kuweza kunitumia kutoka Senegal hadi Tanzania. Mwisho akaniambia hiyo cheki naweza tumia bank yoyote yenye Visa, akaniambia kuwa hiyo hela nitumie kuwasaidia watoto masikini mtaani kwetu na zingine niweke bank ili inisaidie kwa matumizi yangu na nitumie kuangalia ni wapi pazuri pa yeye kuja kupumzikia atakapo kuja kunitembelea baada ya miezi miwili.
Sasa wakuu je hawa ni wakweli au ndio ule utapeli wa mitandaoni? Maana mtu kukupa pound 55000 na wakati kaona picha zangu tu, hilo ndio inanipa wasiwasi. Pound 55000 ni kama 157million za kwetu.
Huyo aliyetumwa aniletee bado sijamwambia kuhusu mzigo aliyopewa. Sasa naombeni ushauri kwa wale wataalamu wa haya mambo, na je kama ni kweli kuna uwezekano huo mzigo wangu ukatumwa kutoka Senegal kuja Tz ? Na je njia ipi nitatumia niweze kuipata bila usumbufu.
Nikiliambia litume picha linatuma zile zile tunapta mwez tuma pcha linatuma zile zile nikajua dume hili likawa linatuma sijibuMwishowe ikawaje ?
unakalibia kulizwa mzeeeeeeeeeWakuu poleni na mihangaiko ya kutwa nzima,

Ilikuweje? lete ubuyu mkuuHaha mwenzio niliotea mphilipino mkuu anaitwa .................. Vilensco