je habari hii ni kweli?

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
kuna tetesi kwamba kiswahili kilizaliwa unguja kikakulia Tanzania bara kikafa kenya na kuzikwa uganda?
 
Kama kimekufa mbona ndo hicho ulichoandika na mimi kujibia hicho! Au mimi sijua maana ya kufa?
 
lol,unanikumbusha form 3 & 4,5 & 6,nadhani hii swali unatakiwa ujadili asili ya kiswali na kuenea kwa kiswahili afrika mashariki,kama kiswahili kimesambaa africa mashariki basi hakijafa na wala haijazikwa.
kwahiyo.....rudi kusoma asili/chimbuko la kuswahili na kusambaa kwake afrika mashariki
 
yap bado kiko juu huku kikizidi kuongeza misamiati km;
1.SHAROBARO
2.KUSEPA
3.KUCHAKACHUA
4......................
5......................
6
7
8
 
Kufa maana yake hicho kitu hakitakuwepo kabisa (hakiexest) je ni kweli kiswahili hakiexist?
 
Jamani humu ndani si kuna jukwaa la lugha? Au unanitafuta ubaya mimi wa kusoma nionekane mchokozi?. Kabla kiswahili hakijafa ninaamini utaanza kufa wewe kwanza.
 
Back
Top Bottom