M-mbabe JF-Expert Member Oct 29, 2009 13,203 23,020 Mar 28, 2012 #21 kweli mwacheni messi aitwe merciless!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Mar 28, 2012 #22 Young_Master said: Dah! Uwezekano wa kuingia hapo ni mdogo sana labda apige shuti kama lile la kwenye movie ya shaolin soccer. Click to expand... Bila shaka ndio tizi la Simba kwa mechi ya Marudio na Waarabu?
Young_Master said: Dah! Uwezekano wa kuingia hapo ni mdogo sana labda apige shuti kama lile la kwenye movie ya shaolin soccer. Click to expand... Bila shaka ndio tizi la Simba kwa mechi ya Marudio na Waarabu?
ummu kulthum JF-Expert Member Feb 6, 2012 2,785 1,317 Mar 29, 2012 #24 goli litafugwa paleee kati kati!
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Mar 29, 2012 #25 kwanza atawatishia halafu mtajikuta wote mmechanguka then analiingiza kama kawa... hahaaa..!
chumvichumvi JF-Expert Member May 6, 2010 1,205 304 Mar 31, 2012 #27 huyo dogo hawezekani kwenye swala la kabumbu
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,318 33,125 Apr 1, 2012 Thread starter #28 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Apr 1, 2012 #29 goli linaingia sana tu........ likimgusa mchezaji mwingine tofauti na golikeeper tunahesabu bao.
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,158 Apr 1, 2012 #30 St. Paka Mweusi said: Dah , niliposoma goli litaingia nikaelewa vitu vingine kabisa duh.. Click to expand... Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!! Wewe ulitegemea uone picha ya lijimama lenye wowowo kama kama Mtungi a Maji nini?
St. Paka Mweusi said: Dah , niliposoma goli litaingia nikaelewa vitu vingine kabisa duh.. Click to expand... Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!! Wewe ulitegemea uone picha ya lijimama lenye wowowo kama kama Mtungi a Maji nini?
toghocho JF-Expert Member Mar 16, 2011 1,172 198 Apr 1, 2012 #31 what is messi, piga chini hafungi tokeni golini nyie abaki mmoja