Je, anayejihusha kimapenzi na mwanafunzi adhabu yake ni sawa na aliyempa mimba mwanafunzi?

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Aug 22, 2019
240
464
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje?
Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
 
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki tendo la ndoa bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje?

Yaani kitendo cha kumtongoza tu mwanafunzi...tayari una mvua zako kwa pilato

Hapo hatujagusia kabisa habari ya abdalla kichwa wazi kwenda kusalimia bondeni kwa madiba...
 
Maana ya kubaka katika sheria zetu za Adhabu inajumuusha kufanya mapenzi na binti wa miaka chini ya kumi na nane (18) kwa ridhaa yake au bila ridhaa yake...

Kifungu namba 130 (2) (e) Cha Sheria ya Adhabu sura 16 RE 2022

Ambapo adhabu ya kubaka ni miaka isiyopungua 30 Jela....
 
Basi wanaume wote bongo sasa hivi tungekuwa na mvua kwa pilato tena pamoja na huyo pilato mwenyewe kama ni mwanamme

Si hujawekewa mtego tu mzee baba...

Kutaka kuruka na mwanamfunzi ni kosa, hili kosa sheria yake inataka kufanana na ile ya rushwa...
 
Maana ya kubaka katika sheria zetu za Adhabu inajumuusha kufanya mapenzi na binti wa miaka chini ya kumi na nane (18) kwa ridhaa yake au bila ridhaa yake...

Kifungu namba 130 (2) (e) Cha Sheria ya Adhabu sura 16 RE 2022

Ambapo adhabu ya kubaka ni miaka isiyopungua 30 Jela....
Ikithibitika umefanya Mapenzi na mtoto chini y 18 yrs either with or without her/his consent it is Rape ,âdhabu ya Rape ni 30 yrs jela .
 
Kesi zote nilizosikia kuhusu ili swala ni pale mwanafunzi anapopewa ujauzito . Sijaskia mtu kafungwa akam hajampa mimba ndo maana nikauliza
Kwani hujui kua mimba ndiyo kidhibiti kikuu kwenye kesi ya ubakaji wa mwanafunzi!? Ndiyo maana watu wanafungwa hasa baada ya kidhibiti kukuu kuwepo ubaoni!!
 
Back
Top Bottom