Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,638
- 668
.....of wisdom. ha ha ha......sijui kama amekuelewa.
huyu jamaa ni legend wa kitu ya arusha ariiifu...
huyu jamaa ni legend wa kitu ya arusha ariiifu...
JCB?hizi ni promo sasa,wengine hatujawahi hata kumsika hapa tayari mmempromot.
.....of wisdom. ha ha ha......sijui kama amekuelewa.
atakua ameelewa, si wa kule daraja mbili.
Aisee nimemsikia jamaa ila kwa kuwa naijua level yake ya elimu aikunisumbua sana saana kuweka humu
anyway ni kijana jamanipengine amefanya hayo kuitambulisha jf sijui anyway
Swadakta... haya ndio mambomKUU,
Naweza kuwa niko Arusha , lakini Umri mkuu!...Umri hauruhusu kuingia matamasha ya hivo...Mi na rafiki yangu Ngongo tuambie wapi wako Serengeti Sound, ili tukasikie "Embe dODO LIMELALA mUCHANGANI"
Who is JCB?
leo ndo nimeamini usisikilize neno la kuambiwa...lazma litakuwa limepunguzwa au kuongezwa tehe tehe tehe!
Na 2juzwe ni muimba taarabu,kwaya au mcheza kiduku?!
POPOBAWA.
Toka aolewe na mzungu JCB amebadilika sana..yaani kawa mngese!JCB arifu mbona unaanza kuharibu mapema hivi aisee?
jcb bana....ila hii si wameikopi toka kwa raisi wako jknilisikia anasema eti" niliambiwa na mshikaji wangu eti nasemwa jamiiforums. akaniambia nifungue jamiiforums halafu sijui niingie sijui celebrities sijui nini halafu sijui niclick sijui wapi huo ni uzushi mtupu" mwenyewe analikuwa anasema. Mia
JCB alikuwa jembe la ukweli lakini hivyo vichenji maiti alivyoshikashika vinamzingua kashindwa kuiorganize watengwa kundi lishasambaratika afu Tangia Chindo asleep hawajatoa mix tape yeyote aangalie watengwa isimfie mkononi Kama hardcore unit hatutamuelewa....Leo anadiss maunder ground wakati Hao ndo wateja wakubwa wa street version mix tapes za watengwa aache uchapatiamesema watu hatuzungumzii mazuri anayofanya..tunazungumzia mabaya.kwahiyo basi wanaojua mazuri yake wayaseme hapa.
Mwamba naona umetia maguu huku kutoa somo na kuwaelezea makiza kama juma mchopanga ni bad news na kama tunda ni nazi na si embe sokoni ambalo linakuwepo kwa msimu!Juma ni yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kichwani ni kipara style ya kiduku itapita...
Jay Moe