Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII

Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu

ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
 
Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.
 
Duu kweli kabisa King'asti uswahili mzigo ila personality ya Jide ndivyo ilivyo!!! Huu ndio ukweli na utabaki hivyo
 
Last edited by a moderator:
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII

Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO

We Mshikaji ulivyoandika inaelekea unamjua Jay d na maisha yake kweli kweli manake inaonekana umeumia kweli, duh!
 
Mgahawa waitwa MOG sio MG...

Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G

Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi

Spelling error thanks...!!!
 
Mgahawa waitwa MOG sio MG...

Ila kasema kweli Life is tough.. sidhani kama kakosea.. hiyo Yahya si aliimba hata kabla hawajatengana na G

Gardner ka move on fasta maana ana kabinti kengine sa hivi

Kumbeee! pengine jide amekua expired ndo mana aka move fasta
 
Come onnn. Not everything that happens is about you mshana! Watu wana maosha yao and they move on. Achana na upambe, kuna watu wanatengana ila wanabaki washkaji for life. Hapa mie naona ww ndo una personality issues. Ukiachana na mtu ukikutana nae unaanza ooh alinibetulia mdomo, alinikata jicho, kajikuna jicho maksudi nione ana pete ya engagement.

Aaagh mie sipatani na uswahili bwana, nikikusalimia usipoitika i presume hujanisikia una mawazo mengi.
Duu kweli kabisa King'asti uswahili mzigo ila personality ya Jide ndivyo ilivyo!!! Huu ndio ukweli na utabaki hivyo
 
Last edited by a moderator:
Come onnn. Not everything that happens is about you mshana! Watu wana maosha yao and they move on. Achana na upambe, kuna watu wanatengana ila wanabaki washkaji for life. Hapa mie naona ww ndo una personality issues. Ukiachana na mtu ukikutana nae unaanza ooh alinibetulia mdomo, alinikata jicho, kajikuna jicho maksudi nione ana pete ya engagement.

Aaagh mie sipatani na uswahili bwana, nikikusalimia usipoitika i presume hujanisikia una mawazo mengi.

Jamani King'asti yaishe basi tuko jukwaa huru na si kila kitu tunaweza kukubaliana lazima kuna mahali tuwe na mawazo tofauti, nimeandika hii post kutokana na historia ya jide. Ukinihukumu kwa 'uswahili' bado si tatizo kwangu lakini jaribu kufuatilia hilo tangazo lisikilize halafu utaniambia ...all in all thanx for sharing
 
Ile adhabu yangu napunguza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom