Jarida la The Economist Kwa Uongo Limekubuhu, Laja na Uongo Kuhusu EAC Ladai TZ na Kenya Hazielewani. PK na YM Hawaivi, Burundi Kando!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,513
113,644
Hili Jarida kwa Uongo limekubuhu, baada ya kusema uongo mwingi kuhusu Tanzania na rais wetu kugonga mwamba, sasa limeibuka na uongo kuhusu Jumuiya ya EAC

Hebu soma hii,
You say you want a federation A political union for east Africa?
Regional leaders have big ambitions but short tempers
20190209_map501.jpg

Print edition | Middle East and Africa
Feb 7th 2019| KAMPALA
Africa’s regional institutions do not lack ambition. The African Union’s master plan promises a rich, peaceful continent criss-crossed by high-speed trains. Eventually. Its target is 2063, a date well past the likely retirement date of all the bigwigs who signed the plan.

The East African Community (eac), by contrast, has no time to waste. It wants to form a single currency by 2024. At a recent summit, heads of state discussed drafting an east African constitution, with the ultimate goal of political federation. The eac is the most successful of Africa’s regional blocs. Since its revival in 2000 it has established a customs union and the rudiments of a common market. But its leaders are getting ahead of themselves: deepening rifts have put the project in jeopardy.

Four of its six members (Rwanda, Burundi, Uganda and South Sudan) are led by ex-rebels, some with competing interests in the Congolese borderlands to the west. The recent summit was postponed twice because Burundi, which has fallen out with Rwanda, refused to attend. That quarrel goes beyond mere words. In 2015 Pierre Nkurunziza, the Burundian president, fought off a coup. His government accuses Rwanda of backing it. In 2016 un experts reported that Burundian refugees were being recruited to fight against their home government. In December the same experts said that arms and men were also flowing through Burundi to undermine Rwanda.
Rwanda’s president, Paul Kagame, is also on bad terms with Yoweri Museveni, his Ugandan counterpart. The rift is personal. Mr Museveni fought his way to power in the 1980s with the help of Rwandan refugees; Mr Kagame, who grew up in a Ugandan refugee camp, was his military intelligence chief. Later, as presidents, the former comrades launched two wars in Congo, then fell out over the loot. By 2000 their soldiers were firing at each other, 600km from home.
Relations are again dicey. Last year Mr Museveni sacked his police chief, who was later charged by an army court with aiding the kidnap of Rwandan exiles (among other things). The abductees, including one of Mr Kagame’s former guards, had been illegally sent back to Rwanda and imprisoned.
Rivalry between Kenya and Tanzania, the two largest members, is more straightforward. Together they account for three-fifths of the region’s population and three-quarters of its gdp. Yet commerce between them is hobbled by a trade war. Although both are meant to be in a common market, Tanzania has imposed tariffs on Kenyan sweets. Kenya has retaliated by taxing Tanzanian flour. Tanzania, which is sliding towards protectionism, also objects to a proposed trade deal between the eacand the eu, which Kenya is keen on. As the only eac countries with coastlines, both vie for investment in infrastructure: in 2016 Uganda decided to route an oil pipeline through Tanzania, to Kenya’s chagrin.
Some worry that the escalating tensions could cause history to repeat itself. The first East African Community collapsed in 1977. More likely, the region will continue to make faltering progress on trade, where the spread of cross-border business creates its own momentum. But political issues are trickier. Leaders who brook no dissent at home have little taste for compromise abroad. Each wants integration, as long as he is in charge.
This article appeared in the Middle East and Africasection of the print edition under the headline "East African rifts"

Japo kuna vitu hawa jamaa wamesema kweli, kuna vingine ni uongo mtupu wa mchana kweupe.

Hili Jarida la The Economist Kwa Uongo Halijambo, Limekubuhu, Laja na Uongo Kuhusu Jumuiya ya Africa Mashariki, EAC, Ladai TZ na Kenya Hazielewani Kibiashara kwa hoja kuwa licha ya kuwa na soko la pamoja, Tanzania imegomea baadhi ya bidhaa za Kenya kwa kuzipandishia ushuru, na Kenya ikajibu mapigo kwa kugomea unga wa Tanzania.

Pia limedai rais wa Rwanda Paul Kagame na rais wa Uganda, Yoweri Museveni Hawaivi, kutokana na kugomea Mali za Wizi Wanazopurura DRC.

Wanadai Rwanda na Burundi hazielewani kwa madai kuwa Rwanda ndio mfadhili wa chokochoko za Burundi huku akiwafadhili na kuwahifadhi waasi wa Burundi, huku Rwanda ikiituhumu Burundi kuwahifadhi na kufadhili waasi wa Rwanda, na Burundi ndio njia ya silaha za chokochoko Rwanda.

Limedai Museveni na Uhuru Kenyatta hawaelewani ndio maana Museveni amechepusha bomba la mafuta la Uganda lilikuwa lipite Kenya sasa Litapita Tanzania.

Wamedai Burundi imejiweka kando na Jumuiya hiyo kulikopelekea vikao viwili vya wakuu wa nchi kushindikana.

Wajameni, huu sio Uongo wa mchana kweupe?. Kama ni kweli kila Mtu haelewani na mwenzake, wangewezaje kukaa pamoja na kuzungumza?. Sote tumeshuhudia watu wamekaa pamoja, wanapendana wanazungumza na cheko na bashasha.

Museveni wanapatana sana na Kenyatta ndio maana SGR ya Mombasa inakwenda Kampala.

Uamuzi wa kupitisha bomba la mafuta la Uganda lilikuwa lipite Kenya sasa Litapita Tanzania for economic reasons na sio bifu.

Tanzania tumezikatalia baadhi ya bidhaa za Kenya zisiingie kwenye common market kwa sababu the certificates of origin sio Kenya. Kenya hawalimi cocoa hata chembe lakini ndio watengenezaji wakubwa wa Cadbury chocolates. Na wao wameugomea unga wa ngano wa Azam kutoka Tanzania kwa sababu ngano yote 100% ni imported.

Hawa The Economist wanapata faida gani kutunga Uongo?.

Paskali
Rejea
Ukiondoa hii positive story kuhusu Tanzania
Kumbe Jarida La The Economist Sometimes Linaweza Kuandika Jambo Jema Kuhusu Tanzania!, Lamsifu Ifakara Health Institute Kwa Utafiti wa Malaria Afrika. - JamiiForums

Haya ni baadhi ya makorokocho ya The Economist kuhusu Tanzania.
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli! - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?. - JamiiForums

The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!. - JamiiForums

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli! - JamiiForums

What went wrong with The Economist? - JamiiForums

Jarida la Economist lamwaga mboga kuhusu muungano: The status of Zanzibar, Imperfect union - JamiiForums

The Economist's Litany of Deceits on Magufuli Administration and the Need for A Responsible Economist Edition - JamiiForums

Democracy under assault: Tanzania’s rogue president - The Economist - JamiiForums

Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli - JamiiForums

Huu sii uchochezi? Wadai msimamo wa Rais Magufuli kupinga uzazi wa mpango utalitia umasikini bara lote zima la Afrika!. Je, kuna ukweli wowote?. - JamiiForums

Reason why should Tanzania ignore The economist Magazine! - JamiiForums

The Economist: President Magufuli is fostering a climate of fear in Tanzania - JamiiForums

Uongo unaosemwa kumhusu Rais wetu Magufuli na nchi yetu Tanzania, usipuuzwe! Ukanushwe na ukweli usemwe! - JamiiForums

Matamshi ya The Economist ni mbinu chafu za kibeberu za kuyumbisha taifa letu na juhudi za Rais wetu mpendwa Daktari John Pombe Magufuli yapuuzwe - JamiiForums
 
Wachache walikuwa wanajua hizi issues ila ww ndo km umezipublish rasmi.

BTW hilo sio gazeti dogo la kulibeza, hao wakitangaza kitu either ni cha ukweli ama ni propaganda iliyo na specific motive nyuma yake.

So hawatakiwi kupuuzwa bali kuthink deeply what are they trying to do.
 
PASKALI labda niongeze kidogo tu kwamba Kenya ndio nchi pekee yenye mtizamo wa ki-EAC. Hawa mabwana wakubwa wengine wote hawana habarina jumuia, wanaburuwa kwasababu wangependa wajitoe ili watekeleze udikteta wao bila kuingiliwa kikanda. Ni rais Uhuru pekee wa taifa la Kenya ndiye mwenye ideology ya federation kichwani mwake. Labda na huyu wa Congo kama akiruhusiwa kujiunga...hawa madikteta wengine hawataki kabisa hii habari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili Jarida kwa Uongo limekubuhu, baada ya kusema uongo mwingi kuhusu Tanzania na rais wetu kugonga mwamba, sasa limeibuka na uongo kuhusu Jumuiya ya EAC

Hebu soma hii,
You say you want a federation A political union for east Africa?
Regional leaders have big ambitions but short tempers
20190209_map501.jpg

Print edition | Middle East and Africa
Feb 7th 2019| KAMPALA
janja yako washaijua pasikali,huo muandiko wako wa kiarabu tusha ujua.@pascalmayalla
 
Hili Jarida kwa Uongo limekubuhu, baada ya kusema uongo mwingi kuhusu Tanzania na rais wetu kugonga mwamba, sasa limeibuka na uongo kuhusu Jumuiya ya EAC

Hebu soma hii,
You say you want a federation A political union for east Africa?
Regional leaders have big ambitions but short tempers
20190209_map501.jpg

Print edition | Middle East and Africa
Feb 7th 2019| KAMPALA

Japo kuna vitu hawa jamaa wamesema kweli, kuna vingine ni uongo mtupu wa mchana kweupe.

Hili Jarida la The Economist Kwa Uongo Halijambo, Limekubuhu, Laja na Uongo Kuhusu Jumuiya ya Africa Mashariki, EAC, Ladai TZ na Kenya Hazielewani Kibiashara kwa hoja kuwa licha ya kuwa na soko la pamoja, Tanzania imegomea baadhi ya bidhaa za Kenya kwa kuzipandishia ushuru, na Kenya ikajibu mapigo kwa kugomea unga wa Tanzania.

Pia limedai rais wa Rwanda Paul Kagame na rais wa Uganda, Yoweri Museveni Hawaivi, kutokana na kugomea Mali za Wizi Wanazopurura DRC.

Wanadai Rwanda na Burundi hazielewani kwa madai kuwa Rwanda ndio mfadhili wa chokochoko za Burundi huku akiwafadhili na kuwahifadhi waasi wa Burundi, huku Rwanda ikiituhumu Burundi kuwahifadhi na kufadhili waasi wa Rwanda, na Burundi ndio njia ya silaha za chokochoko Rwanda.

Limedai Museveni na Uhuru Kenyatta hawaelewani ndio maana Museveni amechepusha bomba la mafuta la Uganda lilikuwa lipite Kenya sasa Litapita Tanzania.

Wamedai Burundi imejiweka kando na Jumuiya hiyo kulikopelekea vikao viwili vya wakuu wa nchi kushindikana.

Wajameni, huu sio Uongo wa mchana kweupe?. Kama ni kweli kila Mtu haelewani na mwenzake, wangewezaje kukaa pamoja na kuzungumza?. Sote tumeshuhudia watu wamekaa pamoja, wanapendana wanazungumza na cheko na bashasha.

Museveni wanapatana sana na Kenyatta ndio maana SGR ya Mombasa inakwenda Kampala.

Uamuzi wa kupitisha bomba la mafuta la Uganda lilikuwa lipite Kenya sasa Litapita Tanzania for economic reasons na sio bifu.

Tanzania tumezikatalia baadhi ya bidhaa za Kenya zisiingie kwenye common market kwa sababu the certificates of origin sio Kenya. Kenya hawalimi cocoa hata chembe lakini ndio watengenezaji wakubwa wa Cadbury chocolates. Na wao wameugomea unga wa ngano wa Azam kutoka Tanzania kwa sababu ngano yote 100% ni imported.

Hawa The Economist wanapata faida gani kutunga Uongo?.

Paskali
Wewe umejuaje ni uongo?Au na wewe ni jasusi?
 
1550080341476.png

Halafu jiwe hapo sijui vipi?Hajakaa kwa amani kabisa asi if anataka anyanyuke kwenda msalani or something. Pia uzee na uchovu unaonekana wazi. Labda kazi imekuwa kubwa sana.

Halafu of all the places, macho yake sijui kwanini yanatizama chini?Au masharti?Kaazi.
 
HAKUNA UONGO NI UKWELI MTUPU.
SHIDA WAAFRICA HAWAPENDEZWI NA UKWELI.

NI,KWELI
TZ NA KENYA HAZIIVI now tofauti na mwanzoni

NI,KWELI
PK na M7 Wana bifu la chini chini yapita miezi Sasa

NI,KWELI
Burundi yupo hati hati,na ndiyo maana nkurunzinza hatoki,nje kuhofia mapinduzi

NI,KWELI
Rw Ina sapoti movement za chini dhidi ya serikali ya Nkurunzinza

Pascal Wapi wanadanganya??

AU UNAPAKA MAFUTA KWA MGONGO?!
 
Nimerudia rudia kusoma sioni uongo upo wapi? Nadhani ingekuwa vizuri ukashauri jinsi ya ku harmonize hali ili tufike tunapotamani kuwa.

Back
Top Bottom