Jaribu kumuweka nyuki mdomoni mwako kisha uje hapa unipe feedback

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,140
Bee Venom

If snake venom sounds too dangerous, what about bee venom? Bee venom facials purportedly fill in wrinkles better than injections. In fact, Kate Middleton got one before she got married.

dc68725454b4af1eeb54247313a87bac.600x
 
Mzizimkavu asee hii sijaelewa kitu hapo tunaomaba utufadanulie wengine darasa letu dogo tupe tafsiri kiswahili
 
Mzizimkavu asee hii sijaelewa kitu hapo tunaomaba utufadanulie wengine darasa letu dogo tupe tafsiri kiswahili
Mkuu NTINGINYA Sumu ya Nyoka ni hatari kwa binadamu lakini sumu ya nyuki ni dawa kwa binadamu kwa baadhi ya maradhi inatibu .Huyu bibie alifanya huo utafiti kuhusu hiyo sumu ya nyuki kabla ya kuolewa.Kuwa Sumu ya nyuki inasaidia kuondosha mikunjo ya uso kama hivi chini picha inavyoonyesha .....

wrinkles.jpg
 
Huyu BEE anayetumika kwenye hiyo facial ni hawa hawa tunaowajua ambao ukiwagusa lazima manundu yakutoke?? Au hawa ni MAALUM kwa urembeshaji??
 
sasa huku kwetu tunakula mzimamzima bila hata ya kumuua
utamu wake unavyokuwa weeeee acha tu!!!
Huyu BEE anayetumika kwenye hiyo facial ni hawa hawa tunaowajua ambao ukiwagusa lazima manundu yakutoke?? Au hawa ni MAALUM kwa urembeshaji??
 
Kwa wale wanaotaka temporary lips enlargment(natural botox)hio,haina madhara ikisha lips inarudi kwenye muonekano wake wa kawaida!
 
Back
Top Bottom