Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

Wanabodi,

Baada ya figisu figusu za hapa na pale za uchaguzi wa marudio wa majimbo ya Kinondoni na Siha uliohusisha kampeni kubwa za nguvu, zilizopelekea umwagaji wa damu, hivyo chaguzi hizi kuwa zimegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, na kupotea kwa roho za Watanzania wenzetu wasio na hatia yoyote, na wengine wao, have nothing to do with politics, lakini hitimisho la jumla la uchaguzi huu, ni ulikuwa ni uchaguzi huru na wake haki, in a sense of kanuni ya "the end, justify the meas", haijalishi ushindi umepatikanaje, aliyeshinda ndie mshindi halali na ameshinda kihalali katika uchaguzi huru na wa haki!.

Aliyeshinda ameshinda kwa haki, aliyeshindwa ameshindwa kwa haki, tukubali matokeo, asiyekubali kushindwa sii mshindani!. Uchaguzi sasa umekwisha, Watanzania sasa tuendelee tuu na maisha yetu ya kawaida as if nothing happened!, ama kwa kusubiria wabunge wengine na madiwani wajitoe tuwarudishe, tuwarudishe kwa mtindo huu huu, au kusubiria uchaguzi wa mwaka 2020 utakaoirudisha rasmi, Tanzania, kuwa nchi ya chama kimoja cha siasa.

Nilibahatika ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima, yaliyofanyika ofisini kwake siku za nyuma, kuhusu chaguzi hizi za marudio, katika kipindi changu cha Habari Zaidi ya Habari na PPR, ambacho kinarushwa kupitia Vituo 6 vya TV, TBC, ITV, STAR TV, Channel Ten, Azam TV, Clouds TV na kwenye Youtube.

Hizi ni Baadhi ya Dondoo za Mahojiano Hayo.
  • Zoezi la Uchaguzi limekwenda vizuri kwa asilimia 95%, hakukuwa na kasoro yoyote kubwa kuathiri uchaguzi huo, hivyo uchaguzi umekamilika na taarifa rasmi ya NEC itatolewa punde itakapokamilika.
  • Uchaguzi huo ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki, licha ya kutokea mapungufu madogo madogo, lakini mapungufu kayo, hayajaathiri matokeo, hivyo matokeo halali, aliyeshinda ameshinda kihalali kwa haki, aliyeshindwa, pia ameshindwa kihalali kwa haki katika uchaguzi huru na wa haki.
  • Hakuna hata chama kimoja, kilicholalamikia rasmi jambo lolote kuhusu uchaguzi huo, kwa kujaza rasmi fomu za malalamiko mpaka sasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, haijapokea malalamiko yoyote rasmi, kutoka chama chochote, au mgombea yoyote kwa mujibu wa utaratibu wa kujaza fomu za malalamiko.
  • Hakuna chama kilichojitoa rasmi, ila kama ilivyo kushiriki uchaguzi ni hiyari, vivyo hivyo vyama viko huru kujitoa wakati wowote, lakini mpaka zoezi la uchaguzi linakamilika, hakuna chama chochote, kilichojitoa rasmi kwa mujibu wa taratibu za kujitoa.
  • Mawakala wa vyama, wanapatikana kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni ikiwepo kutoa barua za utambulisho kwa watu waliokidhi vigezo, mtu ambaye hajakidhi vigezo, hawezi kuruhusiwa.
  • Barua hizo za utambulisho wa mawakala zinakabidhiwa kwa chama husika, na chama ndicho kinawapa mawakala wao.
  • Kukosekana kwa wakala wa chama chochote, hakuathiri uchaguzi, hivyo pamoja na mapungufu madogo madogo ya hapa na pale, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
  • Ameelezea kuwa Tume yake kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, ni Tume huru, inayoendesha chaguzi kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, hakuna chama chochote, kimewahi kulalamikia kipengele chochote cha uchaguzi kinachonyima haki, kitakachoifanya tume hiyo isiwe tume huru.
  • Amesisitiza Tume yake haijawahi kuingiliwa na chombo chochote, wala kupokea maagizo au maelekezo kutoka kwa yeyote.
  • Tume yake haijawahi kufanya upendeleo wowote kwa chama chochote cha siasa, na malalamiko ni kawaida kwa kila anayeshindwa, hata CCM nayo pia huwa inailalamikia tume yake pale inaposhindwa.
  • Pia nimeuliza kuhusu Mkurugenzi, Mwenyekiti wa NEC na makamishna wa Tume kuteuliwa na rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama kimoja, wataweza vipi kutenda haki huku wakiwa ni wateule wa mshindani mmoja?, hili pia Kailima amelijibu, utamsikiliza mwenyewe.
My Take. (Maoni Yangu).
1. Tume yetu ya Uchaguzi ni Tume Huru, licha ya kuteuliwa na rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo, kwa uhuru ule ule wa Mahakama zetu ambazo majaji huteuliwa na rais huyo huyo ambaye pia humteua Mtendaji Mkuu wa Bunge letu. Kama Bunge limeweza kuwa huru kwa mfumo huu, na Mahakama ni huru, hata Tume pia ni huru, ila ionekane kuwa huru, something more needs to be done kwenye Tume Hii.
2. Sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayohitaji kufanyiwa marekebisho ili kutoa ushindani wa haki.
3. The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki.
4. Now it's high time vyama vya siasa, vianze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi mbalimbali, kwa kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya, na tukishindwa kihalali kwenye sanduku la kura, katika uchaguzi huru na wa haki, tukubali matokeo, na sio kutafuta visingizio.
5. Lazima tufike mahali, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki licha ya kasoro za hapa na pale, ambazo hazitaathiri, matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, tujifunze kukubali matokeo na kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani. Kisha turudi nyuma kujitathmini where did we go wrong. Tulipaswa kufanya nini ili kupata ushindi katika mazingira kama haya.
Conclusion.
The bitter reality kwa wapenda demokrasia wa kweli wa mfumo wa vyama vingi nchini, mimi nikiwemo, tumeshuhudia hali hii ndio uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania ndio umefikia hapa baada ya miaka 26 ya vyama vingi, naweza kusema kuwa this is the peak ya upinzani Tanzania, upinzani Tanzania, ndio imefika mwisho wake sasa!. Sasa tuanze kujiuliza, jee kama hali ni hii sana, je hali itakuwaje kwa uchaguzi wa 2020?. Kama wapinzani hawatabadili mbinu na strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye ushindani usio sawa kupitia sanduku la kura, then, uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuna hatari kubwa kwa CCM, kuyarejesha majimbo yote ya uchaguzi yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani, hivyo kuirudisha Tanzania kuwa ni nchi rasmi ya chama kimoja cha siasa, something which is not healthy at all to true modern democracy!.

Hongereni sana CCM kwa ushindi mtamu.
Poleni sana Chadema/Ukawa kwa kupoteza majimbo, wabunge na madiwani.

Tanzania kama taifa, tujipe pole kwa gharama kubwa za chaguzi hizi, ila tuombe sana Mungu alisaidie taifa letu kama gharama hizi za uchaguzi wa kinachoitwa demokrasia ya uchaguzi huru na wa haki, zinajumuisha, machozi, jasho na damu za Watanzania, kwa kugharimiwa na damu na roho za Watanzania, hakuna namna nyingine yoyote ya fidia kwa damu za watu na roho za watu, zaidi vya karma!'
Nawatakia Jumapili Njema.

Wasalaam.

Paskali

Pascal,
Pamoja na kwamba Upinzani na hasa Chadema hawajafanya "homework" yao sawa sawa, si sahihi hata kidogo kusema kwamba kwa kiasi kikubwa Upinzani ujilaumu kwa kufanya vibaya katika chaguzi na kwamba eti NEC ni tume huru.

Kwanza kwenye post yako umeshindwa kuonyesha ni kwa jinsi gani NEC ilivyo tume huru. Angalia hoja uliyotoa:

1. Sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayohitaji kufanyiwa marekebisho ili kutoa ushindani wa haki.

2. The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki.

Hitimisho
3. Tume yetu ya Uchaguzi ni Tume Huru, licha ya kuteuliwa na rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo...​

Kimantiki, the argument (propositions 1&2) for your conclusion is fallacious and therefore the conclusion is false. Kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi, kukosekana kwa level playing field katika kuendesha shughuli za kisiasa na kuwa na tume tume inayochaguliwa na "mwenyekiti wa chama kimojawapo" bila vetting wala confimation hearing ndivyo hasa vigezo vinavyoifanya NEC isiwe tume huru. Au unataka kusema huyo "mwenyekiti wa chama kimojawapo" ni malaika?

Kuhusu matokeo ya mahojiano yako na Kailima, this was pretty well expected hence it isn't news but propaganda. Your relationship with Kailima (and NEC for that matter) is well known (i.e., agency-client relationship) and therefore your conclusion that NEC is independent totally lacks merit. By the way, what would you expect Kailima to have said otherwise?

Waswahili wanasema: Mtumikie kafiri upate mtaji wako. Fanya hivyo lakini usipotoshe kuwa NEC ni tume huru. This is a big disservice to the nation.

Mwisho, Kailima (kama ilivyokuwa Suleiman Kova - ex-RPC/DSM) ana bahati mbaya kwa sababu hawezi kuficha kudanganya au kupotosha kwake. Kailima finds himself in an awkward and stressful situation when he is compelled to deceive/tell lies (like during the interview). Look at his uncontrollable twitching eyes (macho kuchezacheza) and his exaggerated details (kutia chumvi). (Katika mzingira kama hayo, Kova angepatwa na kigugumizi kikali [stuttering]). Reference: https://www.psychologytoday.com/blo...imple-technique-detect-whether-someones-lying
 
Wanabodi,

Baada ya figisu figusu za hapa na pale za uchaguzi wa marudio wa majimbo ya Kinondoni na Siha uliohusisha kampeni kubwa za nguvu, zilizopelekea umwagaji wa damu, hivyo chaguzi hizi kuwa zimegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, na kupotea kwa roho za Watanzania wenzetu wasio na hatia yoyote, na wengine wao, have nothing to do with politics, lakini hitimisho la jumla la uchaguzi huu, ni ulikuwa ni uchaguzi huru na wake haki, in a sense of kanuni ya "the end, justify the meas", haijalishi ushindi umepatikanaje, aliyeshinda ndie mshindi halali na ameshinda kihalali katika uchaguzi huru na wa haki!.

Aliyeshinda ameshinda kwa haki, aliyeshindwa ameshindwa kwa haki, tukubali matokeo, asiyekubali kushindwa sii mshindani!. Uchaguzi sasa umekwisha, Watanzania sasa tuendelee tuu na maisha yetu ya kawaida as if nothing happened!, ama kwa kusubiria wabunge wengine na madiwani wajitoe tuwarudishe, tuwarudishe kwa mtindo huu huu, au kusubiria uchaguzi wa mwaka 2020 utakaoirudisha rasmi, Tanzania, kuwa nchi ya chama kimoja cha siasa.

Nilibahatika ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima, yaliyofanyika ofisini kwake siku za nyuma, kuhusu chaguzi hizi za marudio, katika kipindi changu cha Habari Zaidi ya Habari na PPR, ambacho kinarushwa kupitia Vituo 6 vya TV, TBC, ITV, STAR TV, Channel Ten, Azam TV, Clouds TV na kwenye Youtube.

Hizi ni Baadhi ya Dondoo za Mahojiano Hayo.
  • Zoezi la Uchaguzi limekwenda vizuri kwa asilimia 95%, hakukuwa na kasoro yoyote kubwa kuathiri uchaguzi huo, hivyo uchaguzi umekamilika na taarifa rasmi ya NEC itatolewa punde itakapokamilika.
  • Uchaguzi huo ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki, licha ya kutokea mapungufu madogo madogo, lakini mapungufu kayo, hayajaathiri matokeo, hivyo matokeo halali, aliyeshinda ameshinda kihalali kwa haki, aliyeshindwa, pia ameshindwa kihalali kwa haki katika uchaguzi huru na wa haki.
  • Hakuna hata chama kimoja, kilicholalamikia rasmi jambo lolote kuhusu uchaguzi huo, kwa kujaza rasmi fomu za malalamiko mpaka sasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, haijapokea malalamiko yoyote rasmi, kutoka chama chochote, au mgombea yoyote kwa mujibu wa utaratibu wa kujaza fomu za malalamiko.
  • Hakuna chama kilichojitoa rasmi, ila kama ilivyo kushiriki uchaguzi ni hiyari, vivyo hivyo vyama viko huru kujitoa wakati wowote, lakini mpaka zoezi la uchaguzi linakamilika, hakuna chama chochote, kilichojitoa rasmi kwa mujibu wa taratibu za kujitoa.
  • Mawakala wa vyama, wanapatikana kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni ikiwepo kutoa barua za utambulisho kwa watu waliokidhi vigezo, mtu ambaye hajakidhi vigezo, hawezi kuruhusiwa.
  • Barua hizo za utambulisho wa mawakala zinakabidhiwa kwa chama husika, na chama ndicho kinawapa mawakala wao.
  • Kukosekana kwa wakala wa chama chochote, hakuathiri uchaguzi, hivyo pamoja na mapungufu madogo madogo ya hapa na pale, uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
  • Ameelezea kuwa Tume yake kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, ni Tume huru, inayoendesha chaguzi kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, hakuna chama chochote, kimewahi kulalamikia kipengele chochote cha uchaguzi kinachonyima haki, kitakachoifanya tume hiyo isiwe tume huru.
  • Amesisitiza Tume yake haijawahi kuingiliwa na chombo chochote, wala kupokea maagizo au maelekezo kutoka kwa yeyote.
  • Tume yake haijawahi kufanya upendeleo wowote kwa chama chochote cha siasa, na malalamiko ni kawaida kwa kila anayeshindwa, hata CCM nayo pia huwa inailalamikia tume yake pale inaposhindwa.
  • Pia nimeuliza kuhusu Mkurugenzi, Mwenyekiti wa NEC na makamishna wa Tume kuteuliwa na rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama kimoja, wataweza vipi kutenda haki huku wakiwa ni wateule wa mshindani mmoja?, hili pia Kailima amelijibu, utamsikiliza mwenyewe.
My Take. (Maoni Yangu).
1. Tume yetu ya Uchaguzi NEC, ni Tume Huru, licha ya kuteuliwa na rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo, kwa uhuru ule ule wa Mahakama zetu ambazo majaji huteuliwa na rais huyo huyo ambaye pia humteua Mtendaji Mkuu wa Bunge letu. Kama Bunge limeweza kuwa huru kwa mfumo huu, na Mahakama ni huru, hata Tume pia ni huru, ila ionekane kuwa huru, something more needs to be done kwenye Tume Hii.
2. Sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayohitaji kufanyiwa marekebisho ili kutoa ushindani wa haki. Tusiilaumu Tume kwa chochote kinachotokea kwa sababu Tume inatekeleza sheria zilizopo, kama ni sheria kandamizi, ni kosa la sheria na aliyezitunga na sio kosa la mtekelezaji.
3. The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano uchaguzi wa 2020, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro na vingora, msafara, media, na wasaidizi kibao, huku budget yake is fully footed by state, ashindane na makapuku!, unategemea nini?. Tangu tumeanza uchaguzi wa vyama vingi, kuna chama dola kinashindana na vyama makapuku!.
4. Now it's high time vyama vya siasa, vianze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi mbalimbali, kwa kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya, na tukishindwa kihalali kwenye sanduku la kura, katika uchaguzi huru na wa haki, tukubali matokeo, na sio kutafuta visingizio.
5. Lazima tufike mahali, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki licha ya kasoro za hapa na pale, ambazo hazitaathiri, matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, tujifunze kukubali matokeo na kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani. Kisha turudi nyuma kujitathmini where did we go wrong. Tulipaswa kufanya nini ili kupata ushindi katika mazingira kama haya.
Conclusion.
The bitter reality kwa wapenda demokrasia wa kweli wa mfumo wa vyama vingi nchini, mimi nikiwemo, tumeshuhudia hali hii ndio uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania ndio umefikia hapa baada ya miaka 26 ya vyama vingi, naweza kusema kuwa this is the peak ya upinzani Tanzania, upinzani Tanzania, ndio imefika mwisho wake sasa!. Sasa tuanze kujiuliza, jee kama hali ni hii sana, je hali itakuwaje kwa uchaguzi wa 2020?. Kama wapinzani hawatabadili mbinu na strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye ushindani usio sawa kupitia sanduku la kura, then, uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuna hatari kubwa kwa CCM, kuyarejesha majimbo yote ya uchaguzi yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani, hivyo kuirudisha Tanzania kuwa ni nchi rasmi ya chama kimoja cha siasa, something which is not healthy at all to true modern democracy!.

Hongereni sana CCM kwa ushindi mtamu.
Poleni sana Chadema/Ukawa kwa kupoteza majimbo, wabunge na madiwani.

Tanzania kama taifa, tujipe pole kwa gharama kubwa za chaguzi hizi, ila tuombe sana Mungu alisaidie taifa letu kama gharama hizi za uchaguzi wa kinachoitwa demokrasia ya uchaguzi huru na wa haki, zinajumuisha, machozi, jasho na damu za Watanzania, kwa kugharimiwa na damu na roho za Watanzania, hakuna namna nyingine yoyote ya fidia kwa damu za watu na roho za watu, zaidi vya karma!'
Nawatakia Jumapili Njema.

Wasalaam.

Paskali

Paskali kweli Uchaguzi ulikuwa "Huru na Haki" na kweli tumeshuhudia huu uhuru na haki kweli imetendeka, si umeona Spencer Lameck alitaka kupotosha Wizi wa Box la kura,si umeona ITV wameomba radhi kwa aajili ya spence? Uchaguzi ulikuwa HUru Hongera CCM kwa Ushindi wa Kishindo.
 
Ee Muumba waaibishe hawa,Natamani kuona madhalimu wanaofurahia dhuluma na damu za watu,wakifa mmoja baada ya mwingine.
 
Yaani huyo dogo Paskali huwa namuangalia nachoka kabisa, nimemuangalia asubuhi Star TV anasema tume ni huru lakini sio shirikishi, na huwa anasema hivyo kila mara hapa jukwaani! Lakini hajawahi kusema hiyo tume huru kuwa shirikishi inakuwaje. Anasema mahakama na bunge pia zipo huru na tumekubali, sasa sijui amekubali yeye na nani kuwa bunge na mahakama ni taasisi huru.
Mkuu Tindo, karibu mitaa hii...
My Take. (Maoni Yangu).
1. Tume yetu ya Uchaguzi NEC, ni Tume Huru, licha ya kuteuliwa na rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo, kwa uhuru ule ule wa Mahakama zetu ambazo majaji huteuliwa na rais huyo huyo ambaye pia humteua Mtendaji Mkuu wa Bunge letu. Kama Bunge limeweza kuwa huru kwa mfumo huu, na Mahakama ni huru, hata Tume pia ni huru, ila ionekane kuwa huru, something more needs to be done kwenye Tume Hii.
2. Sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayohitaji kufanyiwa marekebisho ili kutoa ushindani wa haki. Tusiilaumu Tume kwa chochote kinachotokea kwa sababu Tume inatekeleza sheria zilizopo, kama ni sheria kandamizi, ni kosa la sheria na aliyezitunga na sio kosa la mtekelezaji.
3. The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni, mfano uchaguzi wa 2020, kuna mgombea mmoja anaingia kwenye kinyanganyiro na vingora, msafara, media, na wasaidizi kibao, huku budget yake is fully footed by state, ashindane na makapuku!, unategemea nini?. Tangu tumeanza uchaguzi wa vyama vingi, kuna chama dola kinashindana na vyama makapuku!.
4. Now it's high time vyama vya siasa, vianze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi mbalimbali, kwa kukubali kushiriki uchaguzi katika mazingira haya, na tukishindwa kihalali kwenye sanduku la kura, katika uchaguzi huru na wa haki, tukubali matokeo, na sio kutafuta visingizio.
5. Lazima tufike mahali, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki licha ya kasoro za hapa na pale, ambazo hazitaathiri, matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, tujifunze kukubali matokeo na kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani. Kisha turudi nyuma kujitathmini where did we go wrong. Tulipaswa kufanya nini ili kupata ushindi katika mazingira kama haya.
Conclusion.
The bitter reality kwa wapenda demokrasia wa kweli wa mfumo wa vyama vingi nchini, mimi nikiwemo, tumeshuhudia hali hii ndio uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania ndio umefikia hapa baada ya miaka 26 ya vyama vingi, naweza kusema kuwa this is the peak ya upinzani Tanzania, upinzani Tanzania, ndio imefika mwisho wake sasa!. Sasa tuanze kujiuliza, jee kama hali ni hii sana, je hali itakuwaje kwa uchaguzi wa 2020?. Kama wapinzani hawatabadili mbinu na strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye ushindani usio sawa kupitia sanduku la kura, then, uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuna hatari kubwa kwa CCM, kuyarejesha majimbo yote ya uchaguzi yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani, hivyo kuirudisha Tanzania kuwa ni nchi rasmi ya chama kimoja cha siasa, something which is not healthy at all to true modern democracy!.

Hongereni sana CCM kwa ushindi mtamu.
Poleni sana Chadema/Ukawa kwa kupoteza majimbo, wabunge na madiwani.

Tanzania kama taifa, tujipe pole kwa gharama kubwa za chaguzi hizi, ila tuombe sana Mungu alisaidie taifa letu kama gharama hizi za uchaguzi wa kinachoitwa demokrasia ya uchaguzi huru na wa haki, zinajumuisha, machozi, jasho na damu za Watanzania, kwa kugharimiwa na damu na roho za Watanzania, hakuna namna nyingine yoyote ya fidia kwa damu za watu na roho za watu, zaidi vya karma!'
Paskali
P
 
Mkuu Tindo, karibu mitaa hii...

P

Wangalau umejibu sio hizo likes zako. Ila sioni kama una suluhisho la kupata hiyo tume shirikishi zaidi ya kuwakejeli wapinzani. Kwa ujumla hunaga solution ya nini kifanyike kuondokana na tatizo la chaguzi za kishenzi, sana sana unachoweza ni kuuma na kupuliza.
 
Mimi ni mwandishi wa habari, kazi yangu ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha na sio kutafuta solutions za matatizo ya jamii. Wanaolalamikia Tume ya Uchaguzi sio huru, mimi nikiisha waelimisha Tume ni Huru na kutoa elimu ni huru kivipi, nakuwa nimetimiza wajibu wangu, watu wa kutafuta solutions pia wapo, it can be done kama kila mmoja wetu atatimiza wajibu wake!.

Kuwa mwandishi wa habari hakukuondolei nafasi kwenye jamii kama msaka ufumbuzi. Labda useme ukiwa mwandishi wa habari uko exceptional, kitu ambacho sio. Na sio kwamba hujui solution, bali tabia yako ya kuuma na kupuliza haikupi hiyo nafasi.
 
Ni mgawanyo tuu wa majukumu, hata home kwako kuna wife na kuna dada wa kazi, kwa vile wote ni wanawake, hata dada wa kazi anaweza kusaidia baadhi ya majukumu ya wife na akayamudu, lakini kwasababu ameajiriwa kama dada wa kazi, majukumu yake yataishia kuwa dada wa kazi.

Maadam sisi waandishi jukumu letu ni kuhabarisha tuu na sio kutafuta solutions, then mimi naendelea kutekeleza majukumu yangu ya kihabari tuu, hayo mengine nawaachia wengine.

Hata rais Magufuli alipozuia mikutano ya siasa kinyume cha katiba, wako wanaojua ni kinyume cha katiba, lakini kwasababu sio majukumu yao kuingilia kati, wanaendelea kutimiza wajibu wao, na hayo mengine wanawaachia wenyewe wenye majukumu hayo.

The bottom line, Tume ya Uchaguzi, NEC ni Tume huru ila sio Shirikishi.

Naona unauza tu maneno hapa Paskali, I see nothing tangible in views. Hata hivyo naheshimu maoni yako maana ndio uhuru wa kujieleza.
 
Back
Top Bottom