econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,962
- 22,053
Sawa dalali wa DP World. Tatizo majanga yakija mnakimbiaSiasa zile zile za vijiweni. Ufanisi wa bandari ikiwa na uwekezaji wa DP World huwezi kuulinganisha na huu tuliouzoea miaka yote.
Digital Port huwezi kuilinganisha na Port ya kizamani.