Elections 2010 JANUARY Kupewa kamati ya NISHATI bungeni: What is next?

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Jamani hiki sio kiinimacho? Kweli IPTL, DOWANS zitashughulikiwa kwa hali hii. NAHISI kamati hii ni nzito sana kwa mhe. makamba.
 
:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch: Mmmhhhh!!!
 
Ni kumnyamazisha tu huyu kijana maana barua yake kwa Ngeleja imeichanganya serikali mpaka kufikia kusema watamjibu yeye mwenyewe sasa waswahili wanasema mchawi mpe mwana akulelee. Sasa January kapwewa mwana kutokana na uchwawi wake wa asubuhi asubuhi! Serikali yetu ni magenous wa mbinu za medani za kisiasa!
 
JK akifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri atampiga chini Ngeleja na kumteua January kuwa waziri wa nishati na madini
 
CCM wanatapa tapa - kwa aibu - ngoja wateuane weeeeeeee - kwani Kikwete si alibadilisha baraza lake la mawaziri mara kadhaa - lakini still hakuna cha maana kilichofanyika - lets call these POLITICS - mradi January yuko CCM - hataweza kufanya lolote - CCM wameshafilisi nchi - kama nasema uongo - subiri muone kama miezi ijayo mishahara ya waalimu itakuwepo - just my doubts........... and thinking loud.............
 
Hata kama January asingekuwa CCM hanauthubutu wa kuweza kufanya kitu tofauti na hivyo anavyofanya sasa; kwani yeye ni product ya mfumo wa kifisadi!
 
Mh.Makamba alishamtwanga barua nzito Ngeleja,.....sasa sijui alikuwa ameshajua atakuwa kwenye hiyo kamati....tusubiri tuone...maana yule jamaa akili zake ni zaidi ya baba yake.
 
Ni kumnyamazisha tu huyu kijana maana barua yake kwa Ngeleja imeichanganya serikali mpaka kufikia kusema watamjibu yeye mwenyewe sasa waswahili wanasema mchawi mpe mwana akulelee. Sasa January kapwewa mwana kutokana na uchwawi wake wa asubuhi asubuhi! Serikali yetu ni magenous wa mbinu za medani za kisiasa!

Hapo hamkumuelewa Januari Makamba maana ya kuandika waraka ule alikuwa anapiga kampeni ili achaguliwe M/kiti wa kamati sasa subirini.
 
JK akifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri atampiga chini Ngeleja na kumteua January kuwa waziri wa nishati na madini
Nasolwa you've clicked the right button.

Huyu Januari Makamba hata kbla ya Baraza jipya la Mawaziri alisikika sana huyu kijana kuwa angelipewa mojwapo ya Wizara nyeti. Lakini baadaye ikapotezewa nafikri kwa makusudi maalumu.

Kwa sasa picha ndiyo inaanza kuchezwa. Huyu jamaa Januari NDIYE ANAANDALIWA KUCHUKUA NAFASI YA NGELEJA, HILI LIKO WAZI.
Huu msukosuko wa kuilipa DOWANS unaenda kumng'oa NGELEJA kweny nafasi hii. Karata zake hajazichanga vizuri. Nafikiri kuna maelekezo aliyopewa katika kukamilisha malipo ya DOWANS/ROSTAM AZIZ lakini hakuwa smart enough kuya-implement.

Hii imeleta kelele nyingi na Mkwere juzi kwenye sherehe zao za CCM kutimiza 34years alisema kuwa hakubaliani na malipo ya tuzo ya 94b. Tshs kwa DOWANS. Hii inaonyesha kwamba Kiwete alifikiri Magufuli angelifanikisha zoezi hili kiulaini lakini UPEPO UMEGEUKA.

Kitakachofuata ili KIWETE kujaribu kuwaweka watu wake sawa lazima Ngeleja ATOSWE ili kujenga imani kwa Wana CCM na watanzania wachache wenye kuibabaikia CCM.
 
Just curious, which criteria did they use in electing January for that position. By the way, does January have engineering or science background? In my opinion, any member of parliament who is vying for the said committee chairmanship ought to either be an engineer or, in the worst case scenario, have science back ground. I am not trying to take anything away from January's accomplishments but a letter he wrote to Mr. Ngeleja shouldn't be used as a barometer to gauge his fitness to lead that essential committee.

If you are going to ask January today about environmental impact of using cyanide in gold mine's leaching process, what will he say? Also, can January contribute anything when issues of Turbines efficiencies pop up?
 
Back
Top Bottom