Jangwani dar...pangekua zoo.

filonos

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
647
137
wananchi na watanzania tunge pendekeza eneo la Janwani Dar ....pangeegwa ZOO kubwa ndani ya ZOO kungekua na mabwawa ya maji nk. pembezoni ya ZOO kungekua na Barabara kubwa 2 toka Sarenda mpaka Tabata nanyigine toka KIGOGO mpaka ANANASIFU kulikoni panavyo tumika sasa hakuna manufaa kwa jamii wengi 2 au pangekua bwawa kubwa ambalo wangefugwa BOKO..MAMBA NA SAMAKI tofauti lakini yale maji yangetumika kwa huduma za FILE pia kusafishia jiji kwa kutumi FILE nyakati za usiku ndivyo CAIRO .Egiypty wanvyo fanya
 
Hili neno "FILE" linamaa gani, umeniacha......

pole bw Gama nigali la zima moto wenzetu manspare ndio wenye jukumu la usafi wao wenyewe sio wanuza kazi kwa wengine ambao wengi ni company zao kwahiyo wapo kwa ajili ya faida kuliko utendaji
 
Ni kweli mkuu ila pale ni open space na pana umuhimu wake pia. Mikutano ya kisiasa na kidini tutafanyia wapi?
 
zipo open space nyingi sana wameziuza warudshe zote zilile kwani kisheria duniani kote kama kuna jiji lina zaidi yawat 2.000.000.Lazima kuwe na sehem zawazi kwajili ya garden.. michezo..na nk. sasa jangani sasa ponajegwa ma Godown na sehem kubwa ni maji lakini sisi wa TZ tuna wanyama wengi sio lazima watu waende Mikumi hapa wana panga uwe uji wa UTARII
 
Kume "FILE" alimaanisha "FIRE"?!, pole zangu.
pole bw Gama nigali la zima moto wenzetu manspare ndio wenye jukumu la usafi wao wenyewe sio wanuza kazi kwa wengine ambao wengi ni company zao kwahiyo wapo kwa ajili ya faida kuliko utendaji
 
wananchi na watanzania tunge pendekeza eneo la Janwani Dar ....pangeegwa ZOO kubwa ndani ya ZOO kungekua na mabwawa ya maji nk. pembezoni ya ZOO kungekua na Barabara kubwa 2 toka Sarenda mpaka Tabata nanyigine toka KIGOGO mpaka ANANASIFU kulikoni panavyo tumika sasa hakuna manufaa kwa jamii wengi 2 au pangekua bwawa kubwa ambalo wangefugwa BOKO..MAMBA NA SAMAKI tofauti lakini yale maji yangetumika kwa huduma za FILE pia kusafishia jiji kwa kutumi FILE nyakati za usiku ndivyo CAIRO .Egiypty wanvyo fanya
kwahiyo wewe unadhani dawa ni kuiga tu bila kuangalia factors nyingine zozote zile, matumizi ya hizo barabara, gharama za zoo, environmenta impact, outlook, logistics za kumanage etc.

vipi kuhusu taka ngumu zilizojaa mule?
 
kwa mawazo yako namani hutegemei mabadiliko na haitaji gharama za mabadiliko zitumike pole
 
Back
Top Bottom