jane-000 hitaji lako limejibiwa

Jane_000 hujawahi kutongozwa? Umedai watafuta mchumba. Si huyo anakutongoza.

Kubali yaishe, mahakamani ni bom.

Mkubalie nami najifanya mshenga. Harusi kesho online.

Kuwa na hruma jamani ili uvishwe joho la maLOVE. Na pete kidoleni. Padre na ajitokeze wa kufungisha ndoa kesho.

Weni tuna subiri kusikia I DO !!!!!!!!!!! Na on line you may kiss the bride. Mkubalie... Mkubalie... Mkubalie....
 
Padre tunae hapa. Rev. Masanilo. Tujiandae kupiga vigele gele tu.
 
Hahahahaaaa atupunguzie mzigo eeeeh tena OuSofia amempata wanayeendana nae vizuri....at least wanashare mambo mengi...hahahhahahahaaa hiyo familia yao siipatii picha

Hivi mkuu E52 dada yetu wa kutoa English kozi ulimkaribisha kweli?? Naona kama hakupata baraka zako..
 
Mgande mkuu. kama ukishindwa niambie nami nmuamushie makeke yangu. akipindua kwako kwangu hapindui. nakupa nafasi ya kuongea nae, ukishindwa niambie.
 
Mgande mkuu. kama ukishindwa niambie nami nmuamushie makeke yangu. akipindua kwako kwangu hapindui. nakupa nafasi ya kuongea nae, ukishindwa niambie.
Akishindwa wana JF wote tutaingilia kati hadi akubaliwe na Jane000 akimtosa itabidi apigwe BAN kwa kumtosa mtu wanayeendana nae....hahahahahaaaa
 
kuna wanaume hamjipendi kabisa........

Wenzio wanakimbia matatizo weye wayakimbilia.....

Baadhi ya wanawake kama huyo unayemlilia ukiwaweka ndani utakuwa unarudi saa nane usiku daily kuepuka stress........
kumbe ni Asha ngedere
 
jamanii tuelewane sitaki bwana anatembea na bajaji sorry I can't help you

Kwa status yako bajaji ni high level sana....mwenye bodaboda tu anakufaa...huyu wa bajaji anakufaa zaidi...usipoteze bahati Jane
 
Back
Top Bottom