JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele..!

Slogan hii hapa kwa JF ipo mahali pake na imemaanisha hasa. Hongereni founders na wote kwa namna moja au nyingine mmefanikisha JF kufika hapa tulipo hadi na wengine tukajoin.
 
hii ya january na october 2007 ilikuwa ya kichovu sana.ningeikuta hivi huenda nisingevutiwa kujiunga na jf. ya 2008 ilikuwa the best
 
Nathubutu kusema Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele na serikali yaTZ ijifunze toka kwetu
 
Nakumbuka nilikua jamboforums nikitumia my real surname ila sikua navutiwa kihivi,sijui ikapoteaje.
 
Hiii (chini) ilichukuliwa Januari 13, 2007

Jan13-2007-1.png

jan13-2007-3.png



Hiii (chini) ilichukuliwa Oktoba 12, 2007

Oct12-2007-1.png


Kumbe nazeeka na JF! Kweli mimi na JF, JF na mimi! Hahahahahaaa!
 
Kweli tumetoka mbali

Hii kusahau Password tu lakini ni moja wa memba wa mwanzo kabisa.....2006
 
Shamoo Uncle... nimechekaje!
maandazi.jpg

Karibu chai maandazi...
(Jamani thread ya Invisible!:shock:)

Marhabaaa....Mwali weee....Hii chai hiii.... (invisible tafadhali kikombe ndo hicho hico kimoja) Asante sana

Sasa basi, baada ya kupata hii chai nimechangamkaje....sredi ya Invisible ila kwa hili hata yeye atavumilia tu:A S-coffee:
 
Marhabaaa....Mwali weee....Hii chai hiii.... (invisible tafadhali kikombe ndo hicho hico kimoja) Asante sana

Sasa basi, baada ya kupata hii chai nimechangamkaje....sredi ya Invisible ila kwa hili hata yeye atavumilia tu:A S-coffee:
Ningekuletea na gazeti ila naogopa tutaharibu zaidi. Wapi shangazi?
 
Back
Top Bottom