JAMII MEDIA VACANCY - Marketing and PR Coordinator

Kuna WADOGO Zangu Wawili Walikuwepo Katika Huo USAILI Mmoja Nafasi Ya MODERATOR Na Mwingine Nafasi Ya MARKETING AND PR COORDINATOR Wote Ni Wa KIUMENI Na Nimedokezwa Kuwa USAILI Wa Mwisho Umefanywa Jana.

Naomba Yoyote Mwenye TAARIFA KAMILI YA LINI LABDA MAJIBU YATATOKA au YATAWEKWA HUMU MTANDAONI Ili Niweze KUWAANDAA KISAIKOLOJIA Hawa WADOGO Zangu.

Hivi Majina Ya WALIOPITISHWA Si Huwa WANAYAWEKA Na Humu MTANDAONI au? WAFANYAKAZI Wa JAMII MEDIA Hebu Tusaidieni Kutupa UFAFANUZI Wa Hili Ili Nasi Tuweze Kuwatoa HOFU Hawa VIJANA Wetu Kwani Wiki Ijayo Nataka KUWAPELEKA JKT MAKUTUPORA Kuanza Mafunzo Ya Kijeshi ILA Kama Watakuwa WAMEPATA Hapo Kwenu Basi NITASITISHA KUWAPELEKA Huko Kula MSOTO.

Nijibuni ILI Niwajibu Tafadhali.
 
Hahahahaha dah!gentamycn naona unataka kujua kama watu wamepata unafuuu au maumivuu
Hahaha
 
Vipi interview ilikuaje mkuu.

Mimi Nawaulizia Wadogo Zangu Wewe Unaleta Masihara Yako Nikueleweje Mkuu? Acha Masihara Basi Sawa? Nimekuambia Nipo Rwanda Wewe Unang'ang'ania Kuwa Nami Nimefanya USAILI Nikueleweje? au Umetumwa?
 
mkuu benny huyu jamaa na masters yake ya Catering Service watamchukua kweli?
Hata wee unaweza rudi Bongo kuanzisha kozi za kuosha vyombo.

Fursa zipo teletele.

Hata Phd ya uoshaji vyombo rukhsa.

Mi mwenywe ni Profesa mstaafu aliyetukuka.

Cheki profile yangu.
 
Hata wee unaweza rudi Bongo kuanzisha kozi za kuosha vyombo.

Fursa zipo teletele.

Hata Phd ya uoshaji vyombo rukhsa.

Mi mwenywe ni Profesa mstaafu aliyetukuka.

Cheki profile yangu.
hahaha. Mkuu heshima yako. Ulishawahi niambia kwenye sredi yako flan uliosha vyombo Oslo?
 
Kazi zinatanganzwa kwenye notice board ya office no more distance wanaona wafanyakazi wanastua ndugu na marafiki...Hilo sijipu live
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom