James Mbatia na Nape Nnauye wakiwa Denmark kuhudhuria mkutano wa vyama vya Siasa

Deofm

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
383
68
Wakuu niliona habari moja katika blog ya Issamichuzi, ikiwa na picha ya hao jamaa wakiwa wamepiga na baadhi ya wabongo wanaoishi Denmark tarehe 21 April 2012 , Nikajiuliza huu mkutano uwakilishi wake ukoje? lakini sasa najaribu kuunganisha huu mkutao na uteuze wa wabunge aliofanya mheshimiwa mkuu wa taifa la Tz kwa sasa hapo jana.
Naomba mwenye ufafanuzi zaidi anijuze
 
photo (27).JPG
Huyu jamaa ni CCM dam damu...
ni wa kukwepa kama ukoma.. Kafulila alishatutahadharisha
 
Huyu jamaa kalivaa gamba siku nyingi mbona
 
Sasa namtangaza rasmi kafulila kuwa shujaa wangu mwingine .
 
View attachment 53388
Huyu jamaa ni CCM dam damu...
ni wa kukwepa kama ukoma.. Kafulila alishatutahadharisha

Hivi huyu Nape mbona anatuchezea akili? Alikwenda New York akapiga picha na Sefue baada ya wiki mbili Sefue akawa Katibu Mkuu Kiongozi... Kaenda na Mbatia Uholanzi karudi wiki mbili baadae kateuliwa Mbunge na Rais... Kuna nini hapa?????
 
Go figure out!
 
Mimi sibezi uteuzi huu kwani Rais wetu bado anazo nafasi nne za UBUNGE jimbo la Ikulu. Huenda nikawemo!
 
Hivi huyu Nape mbona anatuchezea akili? Alikwenda New York akapiga picha na Sefue baada ya wiki mbili Sefue akawa Katibu Mkuu Kiongozi... Kaenda na Mbatia Uholanzi karudi wiki mbili baadae kateuliwa Mbunge na Rais... Kuna nini hapa?????
Yeye ni katibu mwenezi wa ccm, kwa hiyo huwa anakwenda kuwapa semina ya siasa ili kuwaandaa kupokea madaraka mapya.
 
Wadau wa JF; tatizo hapa sio dogo kama tunavyoliona!

James Mbatia ni mawazo finyu, mbali na kuwa karibu sana na CCM, anajua alipofikishwa na dhoruba iliyoshindwa kumng'oa Kafulila. Mbatia anatazama pale alipo kwa sasa na afanye nini ili kujinasua kisiasa.
Tukumbuke pia, baada ya Amina P. Mdee kumsawazisha ktk Jimbo la Ubunge Kawe, alibakia tu na kutafuta mwanya wa siasa ili kurudi ktk midomo ya watu!
Tabia zake zinajulikana vyema. Ni kama hivyo anavizia penye upenyo hatakama ni 'kujikabidhi' ilimradi 'atoke'! Tujikumbushe pia kuwa Mkapa 'alipomshinda Mrema (NCCR) kifisadi enzi hizo, Mrema aligomea sherehe za kumwapisha Mkapa, ila Mbatia alikuwa wa kwanza kuwasili ktk sherehe na kukaa high Table!
Hivyo Watawala wanatumia weakness za viongozi kama hawa ili kujitwalia uhalali na ku-balance malengo yao ya muda fulani! Mbatia hata tofauti na Kalonzo Musyoka, Makamu wa Rais wa Kenya ambaye mbali na kujua kuwa Kibaki alishindwa na Raila na Upinzani ulipata Ushindi wa Umma, yeye akaafiki kujiunga na Kibaki, walioiba ushindi ili mradi anapata yeye nafasi ndani ya serikali, ili profile yake iendelee mbele, na kama anayo ahadi toka kwa JK tayari, huyu jamaa anaamuaga tu potelea mbali hata kama NCCR inafariki kesho!! Ndiye Mbatia huyo, kama nimechemka hapa Wadau, naomba mnisahihishe!!
 
Back
Top Bottom