Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

kwakweli mi nadhani,
Kumuombea Rais huyu kipenzi cha watanzania ni jambo Muhimu zaidi 🐒
 
Kwahiyo alienda mwenyewe huko na maboksi ya spana?,baba yako analala njaa leo huko kijijini wewe huna hata habari
 
Na mimi hapa Kihesa namshukuru nimepata kaplain nusu ka mdudu no mafuta kabisa.Unyama ni mwingi Mwaisa.
 
Mamilioni ya Wanadsm wamemshukuru sana Rais Samia kwa kurejesha umeme uliokatika jana usiku kutokana na hitilafu kwenye Grid ya taifa

Mama ameupiga mwingi mamilioni tumemshukuru Wapinzani na Chadema mlituchelewesha sana

Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040 maana anaupiga mwingi mnoView attachment 2951104
Nyie machawa mnakera sana

Watu toka jana wamelala bila umeme, na hadi sasa hivi hakuna umeme

Umeme umerudi dakika 5 tu ukakatika tena

Watu wana hasira wewe unaleta uchawa
 
😂🤣
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-21-16-38-13-58.png
    Screenshot_2024-03-21-16-38-13-58.png
    685.9 KB · Views: 1
Mamilioni ya Wanadsm wamemshukuru sana Rais Samia kwa kurejesha umeme uliokatika jana usiku kutokana na hitilafu kwenye Grid ya taifa

Mama ameupiga mwingi mamilioni tumemshukuru Wapinzani na Chadema mlituchelewesha sana

Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040 maana anaupiga mwingi mnoView attachment 2951104

Ujinga ni zaidi ya tatizo Yaani Janga!

Watu wameshindwa kuwa pro active kuzuia tatizo lisitokee wakaacha likatokea, usumbufu mkubwa ulojitokeza wananchi kushindwa ku blend juice sababu umeme hakuna, kushindwa kucheza muziki, kushindwa kutumia Geni na ACs , vyakula kuharibika kwenye majokofu na kupata hasara,
Kazi kutofanyika kama saluni, fundi n.k

Halafu mnashukuru na kupongeza?

Aisee?!
 
Kuna ubaya gani akishukiriwa Mhe.Rais, mbona kila jambo watu wanajifanya negative, mnataka ashukuriwe Mbowe?
 
Tunawashukuru mafundi wa TANESCO ambao walikuwa likizo kwenye sherehe za Pasaka na wakarejea haraka kazini ili kuhakikisha kuwa upatikanaji wa umeme unarudi kama ilivyokuwa hapo awali. Tunawashukuru Watanzania wote ambao wamevumilia kukosa umeme katika kipindi hicho chote na hivyo kuwapa moyo mafundi kuendelea na kazi hiyo hadi pale walipofanikisha kurudisha umeme katika Grid ya Taifa. Pia tusivisahau vyombo vya habari na mitandao ya jamii ambavyo vilitoa taarifa sahihi ya kila kilichokuwa kikifanyika katika kufanikisha kazi hii pasipo kuongeza chumvi au pilipili.
 
Ujinga ni zaidi ya tatizo Yaani Janga!

Watu wameshindwa kuwa pro active kuzuia tatizo lisitokee wakaacha likatokea, usumbufu mkubwa ulojitokeza wananchi kushindwa ku blend juice sababu umeme hakuna, kushindwa kucheza muziki, kushindwa kutumia Geni na ACs , vyakula kuharibika kwenye majokofu na kupata hasara,
Kazi kutofanyika kama saluni, fundi n.k

Halafu mnashukuru na kupongeza?

Aisee?!
My foot!
 
Umeme ulikatika tangu saa nane usiku wa Jana na umerejea saa 2:45 usiku wa leo . Sifa kubwa anamwagiwa rais Samia. Machawa hoyeee!

Screenshot_20240401-224150.png
 
Wanatumia haki yao kikatiba. Wamevunja sheria kwani?

Mm pia namshukuru sana Sa100 kwa hii komenti yangu.
 
Shukran za kipekee ziende kwa muheshimiwa rahisi kwa kuiona hii thread na kusoma.
Kiukweli ma ma anapambana sana.🙏🏽
 
Back
Top Bottom