Jambo rafiki? Salute a l'monde?

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa.
Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia
Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI KWA KILA MZALENDO.
Nina nia,nguvu na kusudi ya kuwa mtoa na mchangia hoja mzuri ktk JF.
Ningependa pia kumpongeza na kutaka kumfuhamu japo kidogo Zuckerberg (mode) wa Jf,ni nani?
Ahsanteni kwa kunisoma .
Na mungu awachukue nyote.
HOODI!!
 
Zuckerberg anaitwa Invisible...unataka kumfahamu ili iweje? hapo kwenye bluu nina wasiwasi na makazi yako...kama ni duniani au kule kwingine...anyway karibu ila una mkwara kwelikweli
 
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa.
Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia
Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI KWA KILA MZALENDO.
Nina nia,nguvu na kusudi ya kuwa mtoa na mchangia hoja mzuri ktk JF.
Ningependa pia kumpongeza na kutaka kumfuhamu japo kidogo Zuckerberg (mode) wa Jf,ni nani?
Ahsanteni kwa kunisoma .
Na mungu awachukue nyote.

HOODI!!
Mungu atuchukue wote?
haya mtaalum wa masoko karibu
 
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa.
Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia
Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI KWA KILA MZALENDO.
Nina nia,nguvu na kusudi ya kuwa mtoa na mchangia hoja mzuri ktk JF.
Ningependa pia kumpongeza na kutaka kumfuhamu japo kidogo Zuckerberg (mode) wa Jf,ni nani?
Ahsanteni kwa kunisoma .
Na mungu awachukue nyote.
HOODI!!

Red: na wewe uwe wa kwanza kuchukuliwa

hila karibu jukwaani
 
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa.
Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia
Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI KWA KILA MZALENDO.
Nina nia,nguvu na kusudi ya kuwa mtoa na mchangia hoja mzuri ktk JF.
Ningependa pia kumpongeza na kutaka kumfuhamu japo kidogo Zuckerberg (mode) wa Jf,ni nani?
Ahsanteni kwa kunisoma .
Na mungu awachukue nyote.
HOODI!!

KAMNDA MBONA uMEKUJA NA MKWARA MZITO NAMNA HIYO, INAONEKANA KAMA NI DALILI ZA MTU WA ZAMANI KWA ID MPYA
 
kaazi kweli kweli!!!!!uchukuliwe na wewe!

Dada/Kaka
duuh, hii avator yako imenikumbusha bongo miaka hiyo, embe mbichi na pilipil, humu kuna mtu mwenye mimba na ni mpenzi mkubwa wa pilipili nadhani akiiona hii atakuwa abanduki hapo
 
Back
Top Bottom