Pozzers
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 336
- 560
Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke
1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote,
2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote.
JPM alipouona akamteua Mkurugenzi DR Mwinuka Clean , Procurement clean man na wanasheria kadhaa ili wachambue waangalie weakness ilipo ili wauvunje,
Walipokaa walifanikiwa kupata vipengele vya kuwakamata Dowans/Symbion
1: Walipata Kuwa Dowans /Symbion hawakuwahi kulipa Kodi Miaka yote walikuwa wanadaiwa Trillion zaidi 40 ukwepaji kodi
2: Dowans/Symbion hawakuwa na Mitambo ya kuzalishia, kumbe walikuwa wanatumia Mitambo ya serikali kww hiyo ikawa point Muhimu kuwa hawakuleta Mitambo mipya kama mkataba unavyo sema.
Matokeo yake:
JPM akawa amwakamata pabaya Dowans na Symbion ya JK Kikwete na Obama.
Wakaingia kwenye mazungumzo Symbion wakaona kwa vigezo hivyo hawachomoki
Bahati Mbaya Jpm akafariki wakiwa katikati kutaka kukimbia na kuachana kudai Serikali
Baadae Team Msoga ,Akiwemo Rostam na wenzake wakabuni mkakati wa namna ya kurudisha fedha ile
Wakajifanya kumzunguka Mama na kudanganya kuwa amteue Makamba,Mama bila kujua akamteua,
Makamba alipofika ili utekelezaji wa malipo Symbion ufanyinikiwe Makamba akaivunja Team yote ya Tanesco, akamtimua DR Mwinuka na team yake yote akamteua jamaa aliekuwepo DStv ambae hata calculation ya umeme hana uzoefu.
Akateua board ya Tanesco mpya wote wakiwemo wamiliki / CEO wa Dowans na Symbion na kubadilisha baadhi ya watalaamu ambao wamekutanishwa na wamiliki wa Dowans na Symbion Kule Dubai,JK Kikwete nadhani mmeona picha zile Kule Dubai wako pamoja linalojadiliwa hata Mama Samia hajui hata sisi wananchi hatujui
3: Lakini kubwa ni kuhakikisha Umeme wa Rufiji wanaletwa watu nyuma ya Pazia kununua Share na watajifanya wanaleta mitaji, watajifanya wanakuja kiwekeza lengo ni kuwa mradi Dowans na Symbion wapate cha kufanya
4: Mkakati mzima iliopo wametengeneza kumhujumu mama Samia 2025 watahakikisha hagombei na plan zao wanazopanga sasa hivi hatari lengo ili Makamba apate nafasi waendelee na Upigaji na utekelezaji
4 : Jambo mbaya mkakati mbaya uliopo ni Kuihujumu serikali ya Mama Samia
Nini kifanyike,
1: Mama Ondoa Makamba na team yote Nishati,
2: Mama asiruhusu uwekezaji wowote kwenye umeme ni bora tujenge Taratibu tutamaliza mradi umeme itarudi tena kawaida
3: Mama aangalie vizuri team yake ndani ya ofisi yake na Chama kww sababu JK anazidi kupandia mizizi
4: Mama asikubali kupangiwa na mtu yeyote na mama aache ushauri nje ya Idara ya Tiss ingawa na kwenye kunahitaji reshafle
5: Mama arudishe zile taskforce zilizowekwa na JPM kudhibiti maovu ikiwemo ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa mizigo Bandarini
6: Kuna watu wanauza Risiti za EFD kariakoo imepelekea kushuka kwa mapato
7: Mama Ahakikishe vituo vya Mizani iwe ni sehemu ya kukagulia Kodi na Risiti za EFD atabaini mengi.
8: Symbion /Dowans wapelekwe Mahakamani kwa kukwepa kodi na uhujumu Uchumi.
9: JK Kikwete apunguziwe safari za nje maana wananchi wanahoji why mkwere kila siku safari budget anatoa wapi?
10: Mama atengue mkuu wa Mkoa Dar essalaam halafu Ras wa Dar awe mkuu wa Mkoa
11: Maeneo ya wazo wapewe Machinga na Mama Ntilie kwa muda wakati huo yanajengwa Majengo kwa ajili ya wamachinga...zoezi hili ni kwa Dar es salaam Kariakoo na Posts
Walioko mbezi waachwe waendelee
12: Mama aende kwenye Mafuta kuna hujuma huko nyingi sana
13: Mama aachwe afanye kazi kww uhuru bila kuingiliwa na JK maana hamtakii mema.