Jamaa2
Member
- Jun 18, 2012
- 8
- 9
Nimejaribu kufuatilia kwa Karibu kwenye Post zinazohusu masuala ya Mgogogro wa Tanzania na Malawi kuhusiana na Ziwa Nyasa na nimegundua kuwa tangu mzozo huu umeanza kuna watu wengi sana wameanza kuja hapa JF na kujoin kama new Members hasa kuanzia Mwezi August.
Ukifatilia comments zao utakuja kugundua kuwa wana Kiswahili cha kukosea ama Wanarespond kwa Lugha ya Kingereza na hasa kwenda Agaist na mada na kujaribu kuonyesha weakness za Tanzania katika kila jambo hasa kuhusiana na Malawi.
My take: Nadhani wanayotumia ni baadhi ya Wamalawi kujaribu kufanya "Psychological Warfare" hapa kwetu kwa kutumia mtandao kama huu wa JF kwakua wanaamini wananchi wengi sasa wanautumia kujuzana na kupata taarifa mbali mbali za muhimu Nchini na nje ya nchi. Nadhani ni kuwaangalia na kupuuza Comments hizi, ama pia MOD kuwafuta hapa.
Naomba Kuwasilisha.