Jambo hili nililofanya linaweza kunisababishia maambukizi ya HIV?

Ndugu zanguni habari,

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika.

Nisaidieni, je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.

Nawasilisha.
Kama umemchubua na ww umechubuka UMEPATA ila kama hamna michubuko mnaweza kuwa haujapata.
 
Dawa utachukulia Temeke pale dogo, huku Mnazi mmoja ishakuwa jau sikuhizi😂
 
Ndugu zanguni habari,

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika.

Nisaidieni, je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.

Nawasilisha.
Hili tukio lilifanyika lini?

Ni kama ni ndani ya masaa 72 basi meza PEP utapona
 
Ndugu zanguni habari,

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika.

Nisaidieni, je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.

Nawasilisha.
Usikute wewe ni yule kijana wa zainab
 
Ndugu zanguni habari,

Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika.

Nisaidieni, je apa nimeshapata HIV au nifanyeje ndugu zanguni.

Nawasilisha.
Acha uoga ukimw wa sasa hauambukiz ukimw kuanzia 2009 kushuka chin kabla ya watu kutumia dawa kwa sasa dawa ni lazima ukitumia dawa uwez kuambukiza
 
Back
Top Bottom