Jambazi alieuwa Wilayani Newala akamatwa Mtwara Mjini

Chinantunu

Senior Member
Mar 18, 2013
118
17
Jambazi aliefanya mauaji ya Raia m1 na Polisi w2 na kujeruhi Polisi mmoja amekamatwa leo tar 17.1.14 mjini Mtwara na ametambuliwa kuwa ni ex Police aliefanya kazi Newala.
source:police
 
Hivi hili tukio ni la kulipizana visasi ama ni ujambazi? OCD,askari kuuawa kuna zaidi ya ujambazi...tusubiri ma mentalist wetu,wanaweza kujua huenda!
 
Polisi akiuawa mhusika atakamatwa, ila wananchi wakipigwa mabomu ya kivita kanisani au kwenye mikutano polisi hawapatikanu wahusika
 
Ile hukumu ya kunyonga mpaka kufa si bado ipo?

Huyu atafaa kuondoa kutu za vinyongeo kule dodoma, najitolea rasmi kuwa muwasha kinyongeo
 
Kanuni ya kwanza ya wahalifu mahiri;
"Usimguse askari"
Tena anapokuwa wa cheo cha juu ndio muhusika anapokamatwa haraka zaidi. Law enforcement ineffeciency inaweza kuwa chanzo cha matatizo mengi sana kwenye jamii yetu kuanzia rushwa, utawala bora na mengine mengi kuliko wengi tunavyodhani.
 
Najitolea hizi kamba made in UK bure kwa ajili ya hukumu ya huyo jambazi
100114181037_hanging-rope226.jpg
 
Back
Top Bottom