Jamanii tuanze kuandika rasimu ya katiba mpya

kaskas

Senior Member
Nov 1, 2010
158
137
@font-face { font-family: "MS 明朝"; }@font-face { font-family: "MS 明朝"; }@font-face { font-family: "Cambria"; }p.MsoNormal, li.MsoNormal, div.MsoNormal { margin: 0in 0in 0.0001pt; font-size: 12pt; font-family: Cambria; }p.MsoListParagraph, li.MsoListParagraph, div.MsoListParagraph { margin: 0in 0in 0.0001pt 0.5in; font-size: 12pt; font-family: Cambria; }p.MsoListParagraphCxSpFirst, li.MsoListParagraphCxSpFirst, div.MsoListParagraphCxSpFirst { margin: 0in 0in 0.0001pt 0.5in; font-size: 12pt; font-family: Cambria; }p.MsoListParagraphCxSpMiddle, li.MsoListParagraphCxSpMiddle, div.MsoListParagraphCxSpMiddle { margin: 0in 0in 0.0001pt 0.5in; font-size: 12pt; font-family: Cambria; }p.MsoListParagraphCxSpLast, li.MsoListParagraphCxSpLast, div.MsoListParagraphCxSpLast { margin: 0in 0in 0.0001pt 0.5in; font-size: 12pt; font-family: Cambria; }.MsoChpDefault { font-family: Cambria; }div.WordSection1 { page: WordSection1; }ol { margin-bottom: 0in; }ul { margin-bottom: 0in; } Jamanii naanzisha mjadala wa katiba mpya!!!!

Ili mtu aweze kushinda na kutangazwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzaina

I. Lazima apate asilimia 51% ya kura zote halali
II. Lazima waliojiandikisha kupika kura wajitokeze zaidi ya asilimia 65% ili ushindi kua halali.
( (i & ii)yote hapojuu yasipotimilika uchaguzi unarudiwa kwa wagombania wawili waliopata kura nyingi kuliko wengine)


nb tuiandike kwa kiswahili ili kila mtu aielewe


Raisi mteule ataapishwa siku zisizopungua 31 baada ya kutangazwa matokeo ya uchanguzi.
 
NEC iwe tume huru ya uchaguzi maana iwe wajumbe toka sehemu tofauti na asasi za kitaifa wajumbe wake wasiteuliwe na president....waidhinishwe na bunge kwa kupigiwa kura

Matokeo ya uchaguzi yanaweza kupingwa mahakamani...kwa utaratibu utakaowekwa na tume...
 
Back
Top Bottom