Jamani watumishi wa afya tunaofanya hospitali za jeshi nchini tunadhalilishwa na jeshi letu

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Wana jf tunaomba ushauri wenu juu ya mada hapo juu!baadhi yetu ambao tunastahili ya kupewa nyumba tumepangishiwa nyumba uraiani na kodi hazilipwi na jeshi hili kiasi cha sisi kupata shida kwa raia wenzetu waliotuonea huruma na kukubali kuingia mkataba na jeshi
hakika tunadahalilika na sijui hatima yetu
 
nakushauri waambie wakupe pasa zako za house allowance ukalipe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom