Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii
Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"
Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.
Nimsaidieje?