Jamani Vita Mbaya,

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
311539_440165206034421_1962912461_n.jpg
 
Pata picha huyo mtoto saikolojia yake ...atakumbuka kile kitendo maisha yake yoote!!Vipi kama ni vita vya wenyewe kwa wenyewe....na huyu dogo akiingia jeshini!!
 
ee mwenyezi Mungu tunusuru na haya. Hapo dogo unafikir akisavaivu itakuwaje?
 
Njaa mbaya, huoni Zitto kaacha M4C kaungana na safari zisizo na msingi za JKilaza? Chezea njaa weye!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom