jamani vedio hiyooooo bi mkubwa huyo...

NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,622
43
heheheh mwandishi ajibiwa kwa kiburi ile mbaya hahaha ajibiwa ki ustaa lool,,,,ni mtizamo wangu tuu..
 
Last edited by a moderator:
"Mtoto" anatoka nyumbani bila ya kumuaga mama?....:A S 13::A S 13::A S 13:

Balehe inamsumbua tu..:ranger: Akikua ataacha.

Eee Mungu utunusru...:A S-omg:
 
si umemsikia mwenyewe asema malezi ya zamani tofauti na ya leo jamani kuaga si lazima mwenzangu habari ndio hiyo,, mmhh
"Mtoto" anatoka nyumbani bila ya kumuaga mama?....:A S 13::A S 13::A S 13:

Balehe inamsumbua tu..:ranger: Akikua ataacha.

Eee Mungu utunusru...:A S-omg:
 
hicho ndio kizazi cha .com naona tunaiga utamaduni wa ulaya huyu dogo anaonekana kapinda toka zamani sana kwa utamaduni wetu tz lazima uage hasa ukiwa under 18 au ukiwa mke wa mtu
 
hicho ndio kizazi cha .com naona tunaiga utamaduni wa ulaya huyu dogo anaonekana kapinda toka zamani sana kwa utamaduni wetu tz lazima uage hasa ukiwa under 18 au ukiwa mke wa mtu

Hata Ulaya, chini ya miaka 18:baby:.. ni lazima uage:wave:. Labda uwe mwanaharamu uliyeharibikiwa.:majani7:
 
...mbona yuko mabega wazi..na mahojiano yanaonekana ni mchana tena pale M Tower ..eneo la steeers...au ?.....ndiyo anatutega
 
kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa jinsi anavyoongea
tena mbele ya kamera
huyu mtoto watu wanamchakachua, TENA WAZEE,
na hii kiswa-kinge kakitoa wapi( I, MY person)
hiki kizazi cha kiduku na JK hatari tupu
heheheh mwandishi ajibiwa kwa kiburi ile mbaya hahaha ajibiwa ki ustaa lool,,,,ni mtizamo wangu tuu..
 
Last edited by a moderator:
Kwani huyu nani? Kawekwa na nani hapa? Kwanini? Mtoeni.....nikirudi nisimkute.....mwanaharamu mkubwa!
 
hhahahaaahahha looool!!!
umeniwacha hoi kwani kakwambia aumwa ngoja akusikie mwenyewe uone jibu utakalopewa waweza ukatoewa mstari wewe ushindwe kulala hehehe si waona anvyojibu mtoto hahaha shauri yako
dogo anahitaji kikombe cha babu faster.... ili atulie
 
mzuri mzuri sana my dear si sura si kijishepu chake wala si skin yake ilaa kitu kimojaaaa tu kaka kimoja tuu.. hakuna aliekamilika...hhehehe hta mie nna katabia changu ila sio superstar tuu hhehhe ndio maana sitolewi magazeti.hehehhe
pamoja na mapungufu yote ila ni mzuri wa umbo tusimbanie
 
hahaha i'm person loool!!!kweli umemchambuwa mi sikulisikia hili neno asante...
kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa jinsi anavyoongea
tena mbele ya kamera
huyu mtoto watu wanamchakachua, TENA WAZEE,
na hii kiswa-kinge kakitoa wapi( I, MY person)
hiki kizazi cha kidiku na JK BWANA
 
babu usiwe mkali jamani ,,,huyo ni elizabeth michael kwa jina la ustar ni lulu kina miaka 17 juzi sijui lini ndio kimeingia 18,,lakini hakijatulia kabisaaa si umekiona,,,usiwe mkali mie ntakuogopa hivyooo??
Kwani huyu nani? Kawekwa na nani hapa? Kwanini? Mtoeni.....nikirudi nisimkute.....mwanaharamu mkubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom