Jamani tunaomba updates za ujenzi wa viwanda zikiwa pia na majibu ya maswali haya

Yaani utazani hao watumishi wanaohakikiwa ni kama maruhani hivi... yaani leo wanaonekana... kesho hawaonekani.

Inawezekana vipi zoezi lichukue miezi 10 kama sio kuleta Mambo ya kitoto?
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo mkuu
 
Bado kuna uhakiki wa watumishi hewa na mchakato wa kukabidhiwa ndege, ukiisha mchakato wa viwanda utaendelea.

Nawaza tu lakini..
Nilishangaa sana Jana Waziri anasema eti zoezi la kuhakiki watumishi hewa linaanza upya..

Hii nchi ina vituko sana.
 
Hawajui kama hao watumishi wanaumizwa kisaikolojia, hivi wanategemea watumishi wafanye kazi zenye ufanisi kweli kwa hali hii?
 
Maswali yako yanguwa fair kama unesubiri miaka 3 au 4 ndio huulize sio kwa serikali ambayo hata mwaka haijamaliza?

Waafrika tunapenda sana kuona matokea over night na hii ndio chanzo cha kutokuona chochote. Nchi zilizoendelea kama wanataka kuboresha sehemu fulani wanaweka malengo ya miaka mingi japokuwa mifumo yao ni mizuri sio iliyooza kama hii yakwetu.
 
Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na na majibu ya maswali yafuatayo:

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?
Nilichumbua chimbua hili suala... yaani dah, nilikuwa very disappointed nilipofahamu ni nini hasa kipo kwenye pipeline kwa jina la Tanzania ya Viwanda! In short, wanacholenga hivi sasa, kwa maana ya aina ya hivyo viwanda, kilipaswa kufanyika wakati ule wa mara baada ya uhuru! Na kama kwa sasa, wala haikutakiwa kuwa agenda ya kitaifa bali ya kimkoa zaidi!
 
Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na na majibu ya maswali yafuatayo:

1.Nini kinaendelea sasa kuhusu ujenzi wa viwanda na labda kiwanda cha kwanza kinatarajiwa kuanza kujengwa lini?

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?

3.Ni wawekezaji gani wameahidi kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta hii ya viwanda?

4.Kati ya hao, ni kina nani wameshawasili hapa nchi kwa ajili hiyo?

5.Ni wawekezaji wangapi wameshakabidhiwa hati za viwanja/ardhi ili waanze ujenzi wa viwanda hivyo?

6.Ni malighafi za aina gani zitatoka hapa nchini kwa ajili ya viwanda hivyo?

7.Mpaka sasa tunatarajia vijana wangapi wa kitanzania watapata ajira za muda katika ujenzi wa viwanda hivyo?

8.Ni meli ngapi zinazotarajia kuja, zilizoko njiani au zilizowasili hapa nchini zikiwa na shehena ya vifaa vya ujenzi wa viwanda hivyo?

9.Ni maeneo gani ambayo mpaka sasa yamefanyiwa au yanatarajiwa kufanyiwa Environmental Impact Assessment kwa ajili ya ujenzi wa viwanda?

10.Je, mpaka sasa ni vikao vingapi vimefanyika kati ya serikali,wadau wengine na wawekezaji kujadili utekelezaji wa azima ya ujenzi wa viwanda hapa nchini?

11.Mpaka sasa serikali imetenga au inakusudia kutenga ekari kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo?

12.Upatikanaji wa umeme umeboreshwa kwa kiasi gani kuipokea Tanzania ya viwanda?

13.Je,mpaka sasa kuna changamoto gani zimejitokeza katika kutekeleza kauli mbiu ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na hatua gani zimechukuliwa/zitachukuliwa kukabiliana na changamoto hizo?
Viwanda ni uongo mwingine wa ccm kwa wadanganyika. Ukweli ni kuwa elimu ni msingi wa kila kitu,na Tanzania ya viwanda itajengwa na watanzania wenyewe na wala siyo wachina,so tulitakiwa tuwape elimu hawa wadanganyika ili kesho watumie ujuzi na maarifa yao kujenga na kuviendesha hivyo viwanda,otherwise subiri part two 2020
 
Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na na majibu ya maswali yafuatayo:

1.Nini kinaendelea sasa kuhusu ujenzi wa viwanda na labda kiwanda cha kwanza kinatarajiwa kuanza kujengwa lini?

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?

3.Ni wawekezaji gani wameahidi kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta hii ya viwanda?

4.Kati ya hao, ni kina nani wameshawasili hapa nchi kwa ajili hiyo?

5.Ni wawekezaji wangapi wameshakabidhiwa hati za viwanja/ardhi ili waanze ujenzi wa viwanda hivyo?

6.Ni malighafi za aina gani zitatoka hapa nchini kwa ajili ya viwanda hivyo?

7.Mpaka sasa tunatarajia vijana wangapi wa kitanzania watapata ajira za muda katika ujenzi wa viwanda hivyo?

8.Ni meli ngapi zinazotarajia kuja, zilizoko njiani au zilizowasili hapa nchini zikiwa na shehena ya vifaa vya ujenzi wa viwanda hivyo?

9.Ni maeneo gani ambayo mpaka sasa yamefanyiwa au yanatarajiwa kufanyiwa Environmental Impact Assessment kwa ajili ya ujenzi wa viwanda?

10.Je, mpaka sasa ni vikao vingapi vimefanyika kati ya serikali,wadau wengine na wawekezaji kujadili utekelezaji wa azima ya ujenzi wa viwanda hapa nchini?

11.Mpaka sasa serikali imetenga au inakusudia kutenga ekari kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo?

12.Upatikanaji wa umeme umeboreshwa kwa kiasi gani kuipokea Tanzania ya viwanda?

13.Je,mpaka sasa kuna changamoto gani zimejitokeza katika kutekeleza kauli mbiu ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na hatua gani zimechukuliwa/zitachukuliwa kukabiliana na changamoto hizo?
Mkuu acha uchochezi au unazo m7
 
Kwa sasa tuachie tushughulike na masuala ya msingi. 2020 ukiuliza maswali hayo tutakupa majibu mujarabu. Kwa sasa is too early
kwa hiyo tumesha badirisha focus yetu? Nakumbuka tuliambiwa tusubili bajeti
 
Wakati tukijiandaa kuwa nchi ya viwanda, ningependa kupata updates za ujenzi wa viwanda hivyo pamoja na na majibu ya maswali yafuatayo:

1.Nini kinaendelea sasa kuhusu ujenzi wa viwanda na labda kiwanda cha kwanza kinatarajiwa kuanza kujengwa lini?

2.Mpaka sasa ni aina gani ya viwanda vinavyotarajiwa kujengwa?

3.Ni wawekezaji gani wameahidi kuja kuwekeza hapa nchini katika sekta hii ya viwanda?

4.Kati ya hao, ni kina nani wameshawasili hapa nchi kwa ajili hiyo?

5.Ni wawekezaji wangapi wameshakabidhiwa hati za viwanja/ardhi ili waanze ujenzi wa viwanda hivyo?

6.Ni malighafi za aina gani zitatoka hapa nchini kwa ajili ya viwanda hivyo?

7.Mpaka sasa tunatarajia vijana wangapi wa kitanzania watapata ajira za muda katika ujenzi wa viwanda hivyo?

8.Ni meli ngapi zinazotarajia kuja, zilizoko njiani au zilizowasili hapa nchini zikiwa na shehena ya vifaa vya ujenzi wa viwanda hivyo?

9.Ni maeneo gani ambayo mpaka sasa yamefanyiwa au yanatarajiwa kufanyiwa Environmental Impact Assessment kwa ajili ya ujenzi wa viwanda?

10.Je, mpaka sasa ni vikao vingapi vimefanyika kati ya serikali,wadau wengine na wawekezaji kujadili utekelezaji wa azima ya ujenzi wa viwanda hapa nchini?

11.Mpaka sasa serikali imetenga au inakusudia kutenga ekari kiasi gani kwa ajili ya ujenzi wa viwanda hivyo?

12.Upatikanaji wa umeme umeboreshwa kwa kiasi gani kuipokea Tanzania ya viwanda?

13.Je,mpaka sasa kuna changamoto gani zimejitokeza katika kutekeleza kauli mbiu ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda na hatua gani zimechukuliwa/zitachukuliwa kukabiliana na changamoto hizo?
kabla watuwekee Sera yao ya viwanda tuichambue, kabla ya kuingia kwenye uchumi wa viwanda kama vitaanzishwa mijini je kuna mpango wa kureview master plan??,
 
Unajuwa hawa jamaa mwanzoni walidhani kazi ya serikali ni kujenga viwanda. Ndio akili zao zilivyokuwa zinawatuma.

Hawakujua kuwa kazi ya serikali ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili mimi, wewe na Yule tuwe attracted na kufanya uwekezaji.

Sasa yamegaribu country economy both micro and macro levels.

Ni muwekezaji ambaye atakuwa ana matatizo kichwani mwake ndiye atakuja kuwekeza kati this current economic conditions.

People don't have anything in their pocket to spend. Ni muwekezaji gani anataka Playback period ya 30 years?
Vilivyopo ambavyo ni tegemeo navyo vinasuffocate ....watu kunywa pombe wanapangiwa muda. Wkt serikali ina wafanyakazi ambao ni 1%,ya waTz...sasa unapodhani kila mmoja anabanwa na ratiba ya saa za kazi za serikali inashangaza sana....
 
Maswali magumu hayo hayaitaji majibu mepesi
Hebu ngoja nitoe maoni yangu kuhusu Sera za uchumi zinazovutia ujenzi wa viwanda

Serikali kisera imeanza vibaya. Kuna concept moja ya Economics inasema Fiscal policy ndio Sera nzuri kujenga viwanda kuliko monetary policy. Fiscal policy inajumuisha tax and government expenditure. katika hii Sera kuna expansion and contractory fiscal policy. Kinachoonekana hivi ni contractory badala ya expansion yaan kuna utitili wa kodi kuanzia bandarini na uwekezaji wenyewe ambavyo havivutii watu kuwekeza ktk viwanda. Pia Serikali imebana matumizi ya fedha na kupunguza pesa kwenye mzunguko, so consumption ya products zinazotokana na viwanda itakuwa chini. Note that mtumiaji mkubwa ktk uchumi wetu ni Serikali.

Mkuu maelezo yako yamejikita katika theories na baadhi ya principles za uchumi. Sawa Mkuu kwa kutujulisha hayo.
Lakni bila kwenda mbali ninaomba niwaulize nyie wote yaani wewe KIJANA 13 na mtoa thread hii haya yafuatayo:
1. Hivi isngelikuwa fair enough kama mngeliuliza haya hasa baada ya mwaka mmoja mpaka miwili?
2. Hivi inawazekana mtu anaamua kuandika bila kufikiriia kwanza? Na hasa huyu mtoa thread hii!
2.1 Mhs Rais ameanza kusafisha site. Haiwezekani kujenga msingi wa nyumba wakati site haijasafishwa.
2.2 Mhs anahitaji mda ili kuondoa UUZO ambao ulishakuwa na FANGUS!
2.3 Hii shughluli inahitaji mda na si ajabu ikachukua zaidi ya miaka 2 au zaidi. Na tutegemee kuanza kujenga viwanda baada ya miaka 4 au mitano.
2.4 Hakuna nchi inaweza kuleta maendeleo ya viwanda bila kuweka maadili kwa watu ambao watatakiwa kusimamia hii kazi. Na kazi hii ndiyo anaifanya Mhs Rais. Na inabidi tumpe mda afanye kazi yake na si kumkatisha tamaa kama baadhi ya wengine wanajaribu kufanya.
Hongera Mhs Rais, matokeao yatakuja baada ya kuweka mambo SAWA! Together ahead.
 
Maswali yako yanguwa fair kama unesubiri miaka 3 au 4 ndio huulize sio kwa serikali ambayo hata mwaka haijamaliza?

Waafrika tunapenda sana kuona matokea over night na hii ndio chanzo cha kutokuona chochote. Nchi zilizoendelea kama wanataka kuboresha sehemu fulani wanaweka malengo ya miaka mingi japokuwa mifumo yao ni mizuri sio iliyooza kama hii yakwetu.
Ina maana kati ya hayo maswalu hakuna hata moja linaloweza kujibiwa sasa?
 
Kwahiyo mnataka apewe miaka 3 au 5? Mwaka mmoja tu umepita harakati au Sera au Mipango ya ujenzi inatakiwa kuanza kuonekana..Tatizo kubwa la umasiki ni waiting waiting
 
Maswali yako yanguwa fair kama unesubiri miaka 3 au 4 ndio huulize sio kwa serikali ambayo hata mwaka haijamaliza?

Waafrika tunapenda sana kuona matokea over night na hii ndio chanzo cha kutokuona chochote. Nchi zilizoendelea kama wanataka kuboresha sehemu fulani wanaweka malengo ya miaka mingi japokuwa mifumo yao ni mizuri sio iliyooza kama hii yakwetu.
Wewe yahifadhi hayo maswali kisha tuombe uzima tuone miaka hiyo ikifika uyaulize majibu kama hayatokuwa yake ya maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Vilivyopo ambavyo ni tegemeo navyo vinasuffocate ....watu kunywa pombe wanapangiwa muda. Wkt serikali ina wafanyakazi ambao ni 1%,ya waTz...sasa unapodhani kila mmoja anabanwa na ratiba ya saa za kazi za serikali inashangaza sana....
Akili zao zinawatuma kuwa watu wootee wanaenda kazini 8am na kutoka 5pm.

Hawajui kuna watu wamejiajiri wanaingia kazini 5am na ikifika 1pm siku imekwisha.

By the way, kunywa ni luxury, kama watu hawana pesa automatically hawatakunywa. Wala hakuna haja ya kuwekeana restrictions kwenye Mambo hayo.

Au kuna utafiti umefanyika na ukaonyesha kuwa Tanzania inashindwa kupiga hatua za maendeleo kwa sababu watu wanakunywa pombe?
 
Back
Top Bottom