Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Nyumba kubwa..... Avatar yako ilinihadaa.... kumbe wewe mmama?.........Khaaa!I wish ungekuwa na mke kama mimi. Mimi mume wangu akiniomba msamaha kwanza hapatakalika kwa muda. Ila waklahi tungeshirikiana kumwadabisha huyo mshenzi. Jamani nyie wadada wenzangu temeeni mate chini huko mitaani wadada wenzetu ni balaa yani wako kimawindo zaidi.
Mimi nimekuelewa kaka kwani nina uzoefu na haya mambo and will always be on my husband's side kwani najua mna majaribu mengi sana toka kwetu kaka zetu.
Nina similar experience sitaki kusimulia hapa na nimejifunza kuwa kusamehe ni kitu muhimu sana kwenye ndoa. Kama mkeo ni muelewa (kama mimi) mkalishe chini umwambie kwani nakuhakikishia kaka huyo kicheche lazima atajamtafuta mkeo na kumwambia yote na uongo juu ili akuharibie maana umesema mwenyewe ni kichaa. Tell your wife the truth; then muanze rasmi kumshughulikia huyo mshenzi.
Mume wangu kuna kicheche mmoja alitaka kublackmail kama huyo ila uzuri wa mume wangu si msiri so we worked things out together. Ameniuzia kesi kwa hiyo i am now dealing with this stupid lady!