Jamani nimepokea Kadi ya Mwaliko wa hii kitu, NIENDEE!!!

Ni-PM tuelekezane ili uniuzie hiyo kadi. Kiasi chochote nitakupa.
 
mswati anatakiwa kuchinjwa kama kuku
ni nini hiki?
kwanini awadhalilishe kina mama
ana haki gani haswa
shame on him
 
ktka maisha kuna wanaofaidi na kukereka na maisha kutegemeana na unavyochukulia mambo
 
mila zinadhalilisha utu wa mwanamke hizi,hii kitu valuable haitakiwi kuwa maonyesho.chuchu boma kama hizi

Nani alikwambia wanawake wanadhalilishwa hapo, ni wazungu au waarabu? Kwa taarifa yako hayo ndo mavazi ya asili ya mwafrika mweusi, sisi wabongo tulikwisha kula kasumba tukatupa utamaduni wetu na tunauenzi utamaduni wa wazungu wa kuvaa mini bikini eti maendeleo. Tumepoteza identity yetu tunabaki kuigaiga tu!
 
bc9106287566f00f.jpg
27dcfd2298fae936.jpg
7bec13c310f0a8a4.jpg
nenda tu ila ujue utaishia kunawa tu.
 
nenda tu ila ujue utaishia kunawa tu.
hataishia kunawa,utaratibu wao mfalme akishachagua mmoja basi wengine wote walioshiriki mwaka huo wako huru kuolewa,mwaka unaofata hawashiriki tena vinakuja vifaa vipya.
 
Kwetu sisi tulioathirka na kasumba za kikoloni tutaona hapo wanawake wanadhalilishwa, kumbe ndo utamaduni wao huo.

Hapo hata wasomi wanakacha masomo kwenda kwenye hiyo ngoma muda ukifika. Kwa hiyo ni vyema tukawaacha na utamaduni wao. Ni mara ngapi hata hapa kwetu sasa hivi mabinti wanajidhalilisha kwa kuiga mivao ya ki-magharibi na kuacha mbunye wazi? Sasa hao wenzetu wanadumisha mila sisi tunasema wanadhalilishwa!!!!!!!!!

Wala siyo kweli kwamba King Mswati III eti huwa alzima achague mke kwenye hizo ngoma! Maana ingekuwa hivyo sasa hivi angekuwa na wake wengi kuliko hao alio nao sasa hivi, hii ngoma kila mwaka inachezwa!!

Niemwapenda na hiyo ngoma yao!!!
 
Back
Top Bottom