Jamani nimefiwa!

pole mkuu na pole kwa wafiwa wote
Mungu alaze roho ya marehemu peponi, Amina
 
jamani mwenzenu siku ya leo nimepata msiba mkubwa wa kupotelewa na bestman wangu mpendwa. Ameilea ndoa yangu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili tu. Nisipotembelea JF kesho mjue kuwa nipo kwenye majonzi majonzi mazito:A S cry:.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina

My condolences
 
bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe!pole sana mkuu!poleni sana wafiwa
 
jamani mwenzenu siku ya leo nimepata msiba mkubwa wa kupotelewa na bestman wangu mpendwa. Ameilea ndoa yangu kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili tu. Nisipotembelea JF kesho mjue kuwa nipo kwenye majonzi majonzi mazito:A S cry:.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina

Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom