Jamani naumwa mwenzenu

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.
 
Umenikumbusha enzi za ANGAZA,ni noma,wewe kunywa vidonge tu ila uthiende kupima,thawa..!?
 
Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee?

Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.
 
hii mada ilikuwa jokes nikajua ni joke ya kawaida kumbe uko serious mkuu pole sana get well soon ciaoooooo..:shock:
 
Jamani pole mpenzi. Umeshameza dawa?Umeweza hata kula au nikuchemshie kasupu nikuletee?

Huko kubanja changanya limao, asali na magadi kidogo kwenye kijiko unywe.
Kwa kubembelezwa huku itabidi na mimi niumwe... :)
 
jamani nipeni pole ,mwenzenu naumwa naskia malaria, alafu nabanja kishenzi,nipeni pole mamen na wanawake pia,akina dada pole zenu zinatia moyo zaidi.

wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh
mbaya weyeeeeeeeeee
mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya
amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf

ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa
 
Umesahau na shahawa za kukuwa kienyeji yaaaani yai la kienyeji mpwa
 
wakati unavalishwa condom mbona ukutukaribisha aunakaribisha imeshaoza na kuoza loh
mbaya weyeeeeeeeeee
mgeni mgeni mgeni mgeni huyu mgeni mgeni ameingia hana adabu wala haya
amevamia na jf mgeni aemingia sasa watanzania tufanyeje mgeni kashavamia na jf

ukiuchoka wimbo wangu fungua akunaga ikuridhishe mpwa
Ustaarabu sio pesa useme ukionyesha utaibiwa. Mtu anaumwa siumpe pole na kama hutaki upite kimya kimya?
 
Pole sana. Kwasisi waislam, kuumwa ni sehemu ya ibada. Mshukuru mungu kwa kuumwa.
 
Pole sana dogo, ulivyotaja kubanja nikamkumbuka Mr. Ebbo! Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom